ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ππππππππ kazi kweli kweiKwani dye mungu,I fear no human
ππππππππ kazi kweli kweiKwani dye mungu,I fear no human
Duuh ni hatari, Tanzania jamaniKajifunze demand and supply
Hii ni moja ya indicators za ukuaji wa uchumi Tanzania, pamoja na kuwa na viwanda vingi sana lakini mahitaji bado ni makubwa kupita kiasi
Nimeambiwa Nyerere hydroelectric saivi inachukua 35% ya cement yote inayozalishwa Tanzania, means inachukua demand amount ya cement yote ya Rwanda.
Dodoma pekee ina matumizi makubwa kuliko Nyerere hydroelectric project
Kwhyo mulishangilia kimya kimya sioUnabisha nini watu wameshangilia siku 3 mfululizo...we jamaa hujielewi,sasa watu wameshinda uchaguzi wasishangilie kwa nini





Barabara za mashinani likeKazi kazi. View attachment 1625469
Punguza maumivuKenya imepoteana kwa kweli,huku madeni mob,kule screpa a.k.a chuma chakavu kimenunuliwa kwa ajili ya the so-called commuter,huku chun ching anakamua kwa SGR,chun ching mwingine naye anajiandaa kukamua for 27 years....
Sasa zile dollar wanazokopa wanafanyia nini?!!..au kunyatta na ruto wanatia kwa mifuko zao


Kwenu km sikosei huruhusiwi kutumia kitambulisho chako ku register line za voda mara mbili..Me hapa wakenya ndo mnaponiacha hoi??
Mnapika sana data ili muonekane wakubwa
Kenya population ni 47.5 by 2019
Internet users ni 46.87.
Watu 1millioni pekee ndio hawatumii internet
Haya statistics zinaonesha kenya kila mwaka wanazaliwa watoto 1.5million
Hawa tomatic hawawezi kutumia internet kwa data izo watoto chini ya miaka 5 watakua sio chini ya milion 6.
Hwa pia asilimia kubwa sio watumiaji wa interet lakini kenya wanaonesha wao 1m pekee ndio hawatumii internet vip hapa hata nyie wakenya wenyewe hamuoni mnadanganywa????
Kwhyo tulihomga sioEmb angalia hii
Nigeria population 206m INternet users 126 reasonable 60%
EGPTY Poplatn 102m I.U 49m
Reasonable 48%
KENYA Poplation 50m I.U 46m
NO way
unreasonable. 98%
South Africa population 60m I.U 36m reasonable 60%
Algeria populatio 43m I.u 25m
Reasonable 52%
Morocco population 36m I.U 23m reasonable 66%
Tanzania population 59m I.U 23m reasonable 39%.
Nanchi nyingine pia ni ivo ivo kasoro kenya tu.


Hii barabara inasukwa, we acha2 mzee babaMombasa road construction is at boom
Mariakani highway (42km) 6 to 10 lanes
Includes...
* 3 level interchange
*Overpass
*Underpass
View attachment 1625531View attachment 1625532View attachment 1625533View attachment 1625534
Dongo kundu bypass 25km(4 to 6 lanes)
Includes..
*3 super sea Bridges one is over 1km
*3 interchanges
*A viaduct
View attachment 1625535View attachment 1625536View attachment 1625537
Jiwe na jeuri zake zote kuna mambo ana refer kimya kimya kutoka kenyaZanzibar ina cruise terminal! Na speech ya leo Bungeni Dodoma Magufuli kaahidi kujenga cruise terminal mpya Dar.


Sasa sio data zote wametoa wao mbona muumwe na wakati wanajua km wametumia vigezo gani...tunaruhusiwa vizur... so wengine nigeria na egypt nao hawaruhusiwi? kias kwamba ratio ya population/IU inalingana na ya kwetu na sio kama yenu above 90%???
Mnalialia nn na wakati watu wa statistics wamewaeka chini yetu hata kw mobile subscriptions...wazee wa kupika data hadi unafika mahali unauzunguza
Yaani super power kila siku wanakitungua? Hila wahabeshi wanachofanya sio vizuri sasakumekucha sasa
wewe mjinga kweli cruise terminal ya Zanzibar tuli-refer wapi? Wakati ipo kabla ya Mombasa?Jiwe na jeuri zake zote kuna mambo ana refer kimya kimya kutoka kenya![]()
Alikudanganya nani kuwa haturuhusiwi?Kwenu km sikosei huruhusiwi kutumia kitambulisho chako ku register line za voda mara mbili..
Kwetu sisi hata line tano za safaricom unaweza miliki
Punguza maumivu