The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwasabu uchaguzi umeshaisha na raia tushakubali ss kinachofanya waendelee kubana mitandao nn au wanataka na cc wafuasi wao tuanze kuwakataa, mana cc hatunaga unafiki wa kumkubali mtu hata kama anafanya ujinga.Wee waache waendelee kubana hawajui kuwa vitu vidogo ndio huwa vinasababisha maandamano [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nchi raia waliandamana ikapelekea rais kupinduliwa kisa tu bei ya mkate iliongezeka.