Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,215
Cha Mtu Mavi... Tafuta chako usiaibikeHahaha!!mambo ya hillary na kuhusu watanzania kuminywa kujieleza au kudai haki zao yanahusianaje...
Hapa tunaongelea kuhusu bongo, mtu anaweza timuliwa kazi na akrudi kulima mihogo bila hata ya kujaribu kwenda mahakamani..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app



Wamelipwa na wanalipwa kama kawaida