Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anatafuta haki wakat kwao haki ya mtu inaliwa na mtu 👇👇👇👇😀

 
IMG_6929.jpg

IMG_6928.jpg

IMG_6927.jpg

IMG_6924.jpg

IMG_6925.jpg

IMG_6926.jpg
 
Naona we ni muandishi mzuri sana wa taarab, kwhyo unahalalalisha km kuandamana hata kw amani ni kosa la jinai sio

Eti polisi watanzania ni wakarimu
Si mngelijaribu juzi muandamane hta kw amani basi..yani mngeliuona uhalisia wao kabisa, unafikiria wale walitumwa kucheka nanyi..
Ile ni order kutoka kw bichwa nundu, yani mkikutana na wake zenu vunjeni miguu kabisa
Mosi, kundamana Tanzania lazima uwe na kibali, wale walioanzisha maandamano hawakuwa na kibali hivyo watanzania waliamua kuwapuuza. Kumbuka nimekueleza hapo mwanzo kuwa Watanzania ni kama pweza.

Pili, acha kukaririshwa kuwa maandamano ndiyo demokrasia.

Kwenye chaguzi zetu hasa hizi nchi za Afrika, Amerika kusini na baadhi ya nchi za Ulaya mashariki, maandamano hutumika kama njia ya kuleta machafuko, Ili kuondoa utawala halali uliowekwa na wananchi. Serikali yoyote makini haiwezi kukubalia watu wachache waiharibu nchi.
 
We see ppp project 😀😀😀 hapo mchina ashajiandaa na toll 27 good yrs akiwakamua kama anavowakamua kwenye SGR white elephant
Wacha tukamuliwe maziwa tunayo nyingi..go Nairobi go,,am happy to see such a huge road rising in my motherland country,,I love u Kenya,,Uhuru tano tena,🤣so sweet indeed
 
Kwn uliskia maandamano ni ya eapinzani pekee, wake up mtanzagiza..
Hata haki zako huzijui kumbe ndio manake mbatumia vpn na wakati serekali yenu haina mbinu mbadala
Hata huelewi nlichoandika na hujui unachoreply, bila shaka utakua umesurufu. Endelea kupambana dada utapata mume TZ wala usihofu
 
Wengine dyo wanapanda na kujiona wamefika,Bado Sana,,Kenya babayao

kutangulia si kufika hata pipeline mlianza, jkia greenfield mlianza, likoni bridge mlianza, sgr mlianza, airline mlianza, meat export mlianza pia na sasa Tanzania inasheherekea in all these sectors! Hata maua mlianza kabla ya Ethiopia na Tanzania saahii Ethiopia imewaacha mbali! Ukiwa mzembe kama Kenya ni bora kunyamaza!
 
kutangulia si kufika hata pipeline mlianza, sgr mlianza, airline mlianza, meat export mlianza pia na sasa Tanzania inasheherekea in all these sectors! Hata maua mlianza kabla ya Ethiopia na Tanzania saahii Ethiopia imewaacha mbali! Ukiwa mzembe kama Kenya ni bora kunyamaza!
Na mambo mengi walianza kwasabu ya influence ya muzungu na co akili zao, ss cc na Ethiopia tunapambana wenyewe
 
kutangulia si kufika hata pipeline mlianza, jkia greenfield mlianza, likoni bridge mlianza, sgr mlianza, airline mlianza, meat export mlianza pia na sasa Tanzania inasheherekea in all these sectors! Hata maua mlianza kabla ya Ethiopia na Tanzania saahii Ethiopia imewaacha mbali! Ukiwa mzembe kama Kenya ni bora kunyamaza!
Hahaha,my friend wacha na infrastructure projects, expressway imetake more than 15yrs to come true,so usidhani sgr, Greenfield,oil pipeline and likoni bridge are dead,,pole Sana zote ziko Vision 2030 so relax,,you can't beat Kenya in agri business never
 
Na mambo mengi walianza kwasabu ya influence ya muzungu na co akili zao, ss cc na Ethiopia tunapambana wenyewe
Haha,zile crops zenu mlianza kukima na nzungu ziko wapi?,lazy bones,kenyas are hardworking,,tulionyeshwa kukima na ju ya bidii yetu dyo tuko top in the world,
 
Hawa wanatamani kuona ile miradi inavurugika kwasababu kinachowaumiza zaidi ni miradi ya kimkakati amabayo imeshamiri kwa nguvu zote na kibaya zaidi kwao kwann tumeweza within short period of time wao hawakuweza😂😂😂

wanajiuliza kwann tanzania iweze kujenga modern electric railway na kuagiza modern bullet electric train
Kwann tanzania waweze kununua ndege zaidi ya 11 brand new cash deal wakat wao wanapumulia chooni sasa hvi😂😂😂

mambo ni mengi sana tu
Na mbaya zaidi wanabaki hoi wanapoona TZ hakuna anayevaa barakoa (mask) na maisha yanaendelea kama kawa wakati wao kila siku ni kutishana tu kwa maambukizi na vifo vya Covid-19 kwenye runinga zao. Nadhani kwa africa baada ya south africa Kenya inafuatia kwa kuonyesha idadi kubwa ya maambuki ya covid-19. Hiyo yote kwa sababu wamekula vya mabeberu sasa mabeberu yanawapumlia kisogoni!
 
Back
Top Bottom