Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama lipi eleza hapa ueleweke individual like what ??? Kama kura kila mmoja alipiga individual so ulitaka iweje???

nani anadai mafao yake na kama yupo taasisi husika zipo nssf zipo aende na kama wakithibitisha kweli lazima alipwe tu

hakuna miaka ambayo wastaafu wamenufaika kama awamu ya magufuli, na linapokuja swala la nyongeza mbona magufuli alieka wazi kua ataongeza lakini wamvumilie aweke mambo sawa ya kimaendeleo

kodi gani imepanda ???? Tuelezee wakat kodi zote za mazao zimefutwa haya tuambie ww kodi gani???? Nasubiria
Eti wavumilie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi pia biadhaa aziambie zisipande zivumilie kwanza..

Alafu mbona umekua mkali, kwn kuna awamu gani inayotoza kodi lukuki km ya magu..
Hapa unabonga kumtetea jiwe ni km ywakujua..

Wastaafu walionufaika wapi hao, au unamaanisha marais wastaafu kujengewa majumba sio[emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122]
 
Hhhhhh!!nimeongea kitu kimoja tu ndio kimekufanya upayuke hvo...
Hapa hupindishi mada kabisa, ukweli ni mnasubiria mkulima azikamate tena ndio mkaandamane nje ya balozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Manake hilo ndio jambo la msingi sana kw watanzania mitaani
Nakushangaa kama alikamata mbona iliachiliwa bila ya chochote hii nchi mzee inasheria tena madhubuti 😂😂😂

Na siku akikamata nitag mm nasubiria 😅
 
Wastaafu gani wakat awamu hii imejitahidi sana kuwalipa wastaafu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]



View attachment 1624859
Tangia aingie madarakani kalipa watu elfu kumi pekeake posho zao, tena hao bila shaka ni wale waliokua wanaenda kudai mara kwa mara au hata kuachi kitu kidogo kwa wale wanaohusika..lkn wale ngangari wanaotaka haki 100% watasubiri sana
 
Eti wavumilie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi pia biadhaa aziambie zisipande zivumilie kwanza..

Alafu mbona umekua mkali, kwn kuna awamu gani inayotoza kodi lukuki km ya magu..
Hapa unabonga kumtetea jiwe ni km ywakujua..

Wastaafu walionufaika wapi hao, au unamaanisha marais wastaafu kujengewa majumba sio[emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122]
👇👇👇👇😂 way to go, hii sio kenya mzee na hii ni kila mwaka


 
Nakushangaa kama alikamata mbona iliachiliwa bila ya chochote hii nchi mzee inasheria tena madhubuti [emoji23][emoji23][emoji23]

Na siku akikamata nitag mm nasubiria [emoji28]
Siku mtarudi sauzi atazikamata ndio muandamane tena[emoji1787][emoji1787]
 
Tangia aingie madarakani kalipa watu elfu kumi pekeake posho zao, tena hao bila shaka ni wale waliokua wanaenda kudai mara kwa mara au hata kuachi kitu kidogo kwa wale wanaohusika..lkn wale ngangari wanaotaka haki 100% watasubiri sana
😂😂😂😂👇👇👇 same year

 
Bwahahaa!!kwn maandano ni kwa ajili ya uchaguzi ya uchaguzi pekeeake..yale yapo kikatiba na unafuata kanuni na kuingia barabarani kudai haki yako...

Tatizo north korea wa upande wa south kudai haki yako ni kosa la jinai
Kwahyo tuandamane tu bila 7bu ya msingi umerogwa au ni ww mwenyewe.
 
Hapa hupindishi mada jomba, wastaafu walionufaika ni akina jakaya sio[emoji1787][emoji1787]
Kama ni haki yao kwann wasilipwe haki zao hilo ndio swali 😄😄😄 nilikwambia hakuna kipindi watu serekalini wamefaidi matunda kama kipindi cha magu
 
Kama ni haki yao kwann wasilipwe haki zao hilo ndio swali [emoji1][emoji1][emoji1] nilikwambia hakuna kipindi watu serekalini wamefaidi matunda kama kipindi cha magu
Mbowe vipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetoka kwenye mfumuko wa bei umeshiba bakora sasa umerudi tena

unataka kufananisha bei ya bidhaa tanzania na kenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ikiwa bei ya umeme kwenu ni mara tatu ya huku

Mwenzako nilimpiga rungu juzi hapo kw umeme karudi akilialia[emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha!!mambo ya hillary na kuhusu watanzania kuminywa kujieleza au kudai haki zao yanahusianaje...

Hapa tunaongelea kuhusu bongo, mtu anaweza timuliwa kazi na akrudi kulima mihogo bila hata ya kujaribu kwenda mahakamani..
Sasa hiyo kazi ilikuwa yako!?
Yaani nijenge kampuni mimi.. kazi ung'ang'anie wewe!?

Mimi nakutimua vizuri sana... Ila kwa makubaliano ya kutimuana tuliyojiwekea.. naweza nisipende shati lako tu na nikakutimua kampuni si ni yangu!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom