Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeees kama xi jinping...na general election pia ifutwe,tunapoteza pesa nyingi sana kwa mambo ya uchaguzi tu..kwanza haya mambo ya uchaguzi sio mambo yetu watz ni beberu tu ndo alitulazimisha,hata kama unakumbuka enzi za mzee mwinyi watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi,ni 20% tu ndo walitaka,lakini 80% walipinga,mzee mwinyi aliamua kuwafuata wale 20%..najua huwezi kukumbuka,ulikuwa bado kuzaliwa..ule mfumo wa china wa CCP ni copy na paste ya CCM masterplan akiwa mzee mwl nyerere mwenyewe
tusiwe na mihemko isiyo kuwa na busara na kua na maono ya mbele, hivi leo katiba ikibadilishwa na ukomo wa raisi ukiongezwa kwa bahati mbaya magufuli akafariki na akaja kurithi mtu wa ajabu uraisi tutafanyaje???? mfano mdgo akipatikana mtu kama museveni hpo si mtaanza kulia tena katiba ibadilishwe irudi kama mwanzo🤦🏾‍♂️
 
Katika maboya basi wewe nime ku rank juu sana, sasa umeandika nn hapa au ndio unahalalisha kuandamana kuonekane km ni kesi ya jinai...

Ndio manake hko kwenu wafanyikazi wananyanyaswa kila kuchao lkn hawasemi kwi kisa wanaogopa wakiingia barabarani hta kw amani watakutana na mabwana zao policcm wakiwasubiri

Kisha kuna jamaa ka like[emoji3][emoji3]
Nawe pia nime like yako vp happy now [emoji3][emoji3]
 
Katika maboya basi wewe nime ku rank juu sana, sasa umeandika nn hapa au ndio unahalalisha kuandamana kuonekane km ni kesi ya jinai...

Ndio manake hko kwenu wafanyikazi wananyanyaswa kila kuchao lkn hawasemi kwi kisa wanaogopa wakiingia barabarani hta kw amani watakutana na mabwana zao policcm wakiwasubiri

Kisha kuna jamaa ka like[emoji3][emoji3]
Nimekuuliza maswali matatu hujayajibu umekimbilia mipasho...

The democracy you are being fed is a myth.. kwao wana electoral college maana wanajua wapuuzi wenye mihemko ya kila namna ni wengi and often they can't be objective enough to elect a good leader..

Popular vote Hillary won against trump and twas obvious.. kwann wasiandamane!? Kitu ambacho hujui ni kuwa Tanzania is a refined Kenya...

The migration from North, west and south was concluded in Tanzania.. here we are billion years ahead of you.. we escaped wars, humiliation, bad leadership, tyrants etc . What we have made is an agreed upon remedy to all that made us run from where we were previously.

Ukitaka kujua watu wamestaarabika.. angalia wanavyodeal na issues... Ukiona ni manguvu nguvu ujue hiyo community bado iko stone age.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ss ndipo umemkimbiza Aunt komo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona we ni muandishi mzuri sana wa taarab, kwhyo unahalalalisha km kuandamana hata kw amani ni kosa la jinai sio[emoji122][emoji122][emoji122]

Eti polisi watanzania ni wakarimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si mngelijaribu juzi muandamane hta kw amani basi..yani mngeliuona uhalisia wao kabisa, unafikiria wale walitumwa kucheka nanyi..
Ile ni order kutoka kw bichwa nundu, yani mkikutana na wake zenu vunjeni miguu kabisa
Alafu Aunt komo democracy haipo duniani ipo mbinguni tu kaa ukijua hilo na ndiyo maana ww pia ni mkenya kama bro mashati ila mwenzako anamiliki kenya kama ardhi alizaliwa nayo vile wakati ww hata kipande cha metre sq kadhaa huna.
 
Naona hyo sindano niliyokuchoma imeingia vizuri..
Sasa umeuonaje huo uchumi wetu wa kwnye makaratasi, kawa hongeni jamani tra ipae muongeze mindege..
Ninyi ni masikini tu hakuna utofauti na mataifa mengine kama uganda,ethiopia,sudan,ghana,congo,nigeeria n.k...labda south africa,egypt,au morocco wakisema wana uchumi mkubwa kiasi flani unaweza kuwaelewa,sio ninyi machoko*raa tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nataka kuiona tulinganishe na yenye nmepost
Hujanijibu swali dar ina commuter railway more than 7yrs back na inasafirisha abiria 16000 daily so imagine, akili mliobakia nayo nyinyi ni kurunganisha mbona hamuringanishi SGR yenu na yetu siku hzi au kwasababu mushakalia kidole😂😂😂
 
Nimekuuliza maswali matatu hujayajibu umekimbilia mipasho...

The democracy you are being fed is a myth.. kwao wana electoral college maana wanajua wapuuzi wenye mihemko ya kila namna ni wengi and often they can't be objective enough to elect a good leader..

Popular vote Hillary won against trump and twas obvious.. kwann wasiandamane!? Kitu ambacho hujui ni kuwa Tanzania is a refined Kenya...

The migration from North, west and south was concluded in Tanzania.. here we are billion years ahead of you.. we escaped wars, humiliation, bad leadership, tyrants etc . What we have made is an agreed upon remedy to all that made us run from where we were previously.

Ukitaka kujua watu wamestaarabika.. angalia wanavyodeal na issues... Ukiona ni manguvu nguvu ujue hiyo community bado iko stone age.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nguvu nguvu Kama huyo screpa wenyu anavyodeal na issues kitoto,eeeh?
 
Naona we ni muandishi mzuri sana wa taarab, kwhyo unahalalalisha km kuandamana hata kw amani ni kosa la jinai sio[emoji122][emoji122][emoji122]

Eti polisi watanzania ni wakarimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si mngelijaribu juzi muandamane hta kw amani basi..yani mngeliuona uhalisia wao kabisa, unafikiria wale walitumwa kucheka nanyi..
Ile ni order kutoka kw bichwa nundu, yani mkikutana na wake zenu vunjeni miguu kabisa
Ukiwa mzururaji usie na kazi ya kufanya mbona utaandamana sana
 
😂😂😂😂😂 nchi ina vichekesho hii
Huyu jamaa wizara imemshinda kabisa

Back
Top Bottom