Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiwa mzururaji usie na kazi ya kufanya mbona utaandamana sana
Kwn uliskia maandamano ni ya eapinzani pekee, wake up mtanzagiza..
Hata haki zako huzijui kumbe ndio manake mbatumia vpn na wakati serekali yenu haina mbinu mbadala
 
Alafu Aunt komo democracy haipo duniani ipo mbinguni tu kaa ukijua hilo na ndiyo maana ww pia ni mkenya kama bro mashati ila mwenzako anamiliki kenya kama ardhi alizaliwa nayo vile wakati ww hata kipande cha metre sq kadhaa huna.
Hta leo njoo na hela yako upimiwe ardhi mm nitakusimamia
 
Ninyi ni masikini tu hakuna utofauti na mataifa mengine kama uganda,ethiopia,sudan,ghana,congo,nigeeria n.k...labda south africa,egypt,au morocco wakisema wana uchumi mkubwa kiasi flani unaweza kuwaelewa,sio ninyi machoko*raa tu
Eeeee!!umaskini wetu ndio unatufanya tuwahonge mabeberu ndio watupe huo uchumi wa kwenye makaratasi..

Ndio manake EA kibiashara hamtuwezi, uwekezaji wa ndani na wanje pia vile vile hamtuwezi.niendelee
TRA inachapea na KRA
 
Nimekuuliza maswali matatu hujayajibu umekimbilia mipasho...

The democracy you are being fed is a myth.. kwao wana electoral college maana wanajua wapuuzi wenye mihemko ya kila namna ni wengi and often they can't be objective enough to elect a good leader..

Popular vote Hillary won against trump and twas obvious.. kwann wasiandamane!? Kitu ambacho hujui ni kuwa Tanzania is a refined Kenya...

The migration from North, west and south was concluded in Tanzania.. here we are billion years ahead of you.. we escaped wars, humiliation, bad leadership, tyrants etc . What we have made is an agreed upon remedy to all that made us run from where we were previously.

Ukitaka kujua watu wamestaarabika.. angalia wanavyodeal na issues... Ukiona ni manguvu nguvu ujue hiyo community bado iko stone age.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hahaha!!mambo ya hillary na kuhusu watanzania kuminywa kujieleza au kudai haki zao yanahusianaje...

Hapa tunaongelea kuhusu bongo, mtu anaweza timuliwa kazi na akrudi kulima mihogo bila hata ya kujaribu kwenda mahakamani..
 
Hivi reasoning ya Wakenya Iko wapi!

Kura ni siri... Wewe unajuaje kuwa kura yako ndio imeshinda ..ilihali ni kura moja!?

Ukikaa katikati ya watu wengi wanawezaje kukuaminisha pasi na shaka.. kuwa wakisema wamemchagua Juma basi kweli wamemchagua Juma!?

Ukiwa unaandamana... Tukakukamata wewe peke yako... Tukakuhoji unajuaje kura ya upande wako ndio ilishinda! Utajibu nini!?

Mpiga kura hana uwezo wa kuthibitisha ushindi... Ni kazi ya mawakala wa mgombea... Kazi yetu tunakupa kura kuzilinda ni juu yako Mgombea na Mawakala wako...

Sasa mtu mwenye akili timamu ambao ndio watanzania wengi wanalijua hili. Ndio maana huwezi kutukuta tunakimbizana... Kama tunakupa kura na unashindwa task ndogo ya kulinda kura... Utaweza kulinda Mipaka ya nchi na maslahi ya watanzania!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Siri kivipi na wakati biden aliposhinda tuliona watu wameingia barabarani kusherehekea matokeo..
Sasa njoo kw jiwe hata wale ccm damu walishindwa kuingia barabarani kisa policcm wasi wamistake na CHADEMA wakavunjwa miguu
 
Hahaha!!mambo ya hillary na kuhusu watanzania kuminywa kujieleza au kudai haki zao yanahusianaje...

Hapa tunaongelea kuhusu bongo, mtu anaweza timuliwa kazi na akrudi kulima mihogo bila hata ya kujaribu kwenda mahakamani..
Si huwa mnatumia US km benchmark leo unakataa.
 
Nadhani mtaanza kudai haki yenu ile siku mtaanza kufukuliwa nyuma..
Manake we hapo kw akili zako mishahara kuongezwa baada ya mda flani na posho za uzeeni sio haki ni kosa la jinai
Haki gani tunayoitaka sisi??? Wakat haki za msingi tunazipata uhuru tunao amani tunayo udugu tunao,😂😂😂 na biashara zinafanyika
 
Siri kivipi na wakati biden aliposhinda tuliona watu wameingia barabarani kusherehekea matokeo..
Sasa njoo kw jiwe hata wale ccm damu walishindwa kuingia barabarani kisa policcm wasi wamistake na CHADEMA wakavunjwa miguu
Uingie barabarani ufanye nn kwan ww kondoo?? Kama umeshindwa unatuliza kibuyu na walioshinda pia maisha yanaendelea, wananchi wanataka maendeleo sio ushindi tu 😀😀😀

kwa vile nyinyi mumezoea fujo na vita basi munataka hayo mazoea kila mmoja awe nayo
 
Siri kivipi na wakati biden aliposhinda tuliona watu wameingia barabarani kusherehekea matokeo..
Sasa njoo kw jiwe hata wale ccm damu walishindwa kuingia barabarani kisa policcm wasi wamistake na CHADEMA wakavunjwa miguu
Ukiingia barabarani nje ya sheria lazma sheria ikuadhibu tu ndio maana sheria ni msumeno
 
Hahaha!!mambo ya hillary na kuhusu watanzania kuminywa kujieleza au kudai haki zao yanahusianaje...

Hapa tunaongelea kuhusu bongo, mtu anaweza timuliwa kazi na akrudi kulima mihogo bila hata ya kujaribu kwenda mahakamani..
Hii ndio haki mlionayo nyinyi 👇👇

Uingie barabarani ufanye nn kwan ww kondoo?? Kama umeshindwa unatuliza kibuyu na walioshinda pia maisha yanaendelea, wananchi wanataka maendeleo sio ushindi tu

kwa vile nyinyi mumezoea fujo na vita basi munataka hayo mazoea kila mmoja awe nayo
Anashangaza sana uyu demu yn tng asubuhi amekazania kulazimisha watu waandamane ili nasisi tuharibu nchi yetu km wao, umoja wetu ulijengwa kwa gharama kubwa hakuna fala yeyote atajaribu kuuharibu, WaTz kwetu uchaguzi ni kitu kidogo sana hatuwezi kupoteza amani yetu kwa kitu cha cku mbili.

Alafu kwnn tuandamane, kisa nn ss wkt viongozi tumewachagua cc wenyewe yn tuchague viongozi alafu tuwakatae ss hyo itakuwa akili au tope? Yani tumewachagua cc wenyewe kwa wingi wetu alafu leo tena tuandamane hivi unajisikia lkn ww
 
Siri kivipi na wakati biden aliposhinda tuliona watu wameingia barabarani kusherehekea matokeo..
Sasa njoo kw jiwe hata wale ccm damu walishindwa kuingia barabarani kisa policcm wasi wamistake na CHADEMA wakavunjwa miguu
Hawa ndio jubilee kazi yao hii ndio haki za watoto kenya👇👇👇👇

Anashangaza sana uyu demu yn tng asubuhi amekazania kulazimisha watu waandamane ili nasisi tuharibu nchi yetu km wao, umoja wetu ulijengwa kwa gharama kubwa hakuna fala yeyote atajaribu kuuharibu, WaTz kwetu uchaguzi ni kitu kidogo sana hatuwezi kupoteza amani yetu kwa kitu cha cku mbili.

Alafu kwnn tuandamane, kisa nn ss wkt viongozi tumewachagua cc wenyewe yn tuchague viongozi alafu tuwakatae ss hyo itakuwa akili au tope? Yani tumewachagua cc wenyewe kwa wingi wetu alafu leo tena tuandamane hivi unajisikia lkn ww
Hawa wanatamani kuona ile miradi inavurugika kwasababu kinachowaumiza zaidi ni miradi ya kimkakati amabayo imeshamiri kwa nguvu zote na kibaya zaidi kwao kwann tumeweza within short period of time wao hawakuweza😂😂😂

wanajiuliza kwann tanzania iweze kujenga modern electric railway na kuagiza modern bullet electric train
Kwann tanzania waweze kununua ndege zaidi ya 11 brand new cash deal wakat wao wanapumulia chooni sasa hvi😂😂😂

mambo ni mengi sana tu
 
Uingie barabarani ufanye nn kwan ww kondoo?? Kama umeshindwa unatuliza kibuyu na walioshinda pia maisha yanaendelea, wananchi wanataka maendeleo sio ushindi tu

kwa vile nyinyi mumezoea fujo na vita basi munataka hayo mazoea kila mmoja awe nayo
Point yangu mnaielewa lkn bado mnajitoa ufahamau, kifupi tanzania hufai kuandamana kudai haki yako..
 
Back
Top Bottom