Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anashangaza sana uyu demu yn tng asubuhi amekazania kulazimisha watu waandamane ili nasisi tuharibu nchi yetu km wao, umoja wetu ulijengwa kwa gharama kubwa hakuna fala yeyote atajaribu kuuharibu, WaTz kwetu uchaguzi ni kitu kidogo sana hatuwezi kupoteza amani yetu kwa kitu cha cku mbili.

Alafu kwnn tuandamane, kisa nn ss wkt viongozi tumewachagua cc wenyewe yn tuchague viongozi alafu tuwakatae ss hyo itakuwa akili au tope? Yani tumewachagua cc wenyewe kwa wingi wetu alafu leo tena tuandamane hivi unajisikia lkn ww
Bwahahaa!!kwn maandano ni kwa ajili ya uchaguzi ya uchaguzi pekeeake..yale yapo kikatiba na unafuata kanuni na kuingia barabarani kudai haki yako...

Tatizo north korea wa upande wa south kudai haki yako ni kosa la jinai
 
Point yangu mnaielewa lkn bado mnajitoa ufahamau, kifupi tanzania hufai kuandamana kudai haki yako..
Hatuez elewa point isiokua na miguu, mtanzania mwenye akili hawezi kuandamana kwa kitu hakina msingi,

haki gani ndio swali la msingi kwamba hauli chakula sasa uandamane au
 
Hahaha!!kwhyo mambo ya msingi ni ndege kukakamatwa sauzi mpka zikawafanya mkaandamana nje ya balozi sio
 
Bwahahaa!!kwn maandano ni kwa ajili ya uchaguzi ya uchaguzi pekeeake..yale yapo kikatiba na unafuata kanuni na kuingia barabarani kudai haki yako...

Tatizo north korea wa upande wa south kudai haki yako ni kosa la jinai
Unadai haki gani hebu jibu swali langu
 
Hahaha!!kwhyo mambo ya msingi ni ndege kukakamatwa sauzi mpka zikawafanya mkaandamana nje ya balozi sio
Hujajibu swali unataka kuandamana kwa msingi upi na utueleze ipi sababu ya kuandamana???

na wapi uliskia tanzania watu wanaandamana ovyo ovyo
 
Usibadili gear, swala hapa ni je tanzania kudai haki yako ni kosa la jinai?
Wako wapi tuoneshe hzo ndio haki za watoto kenya wanachukuliwa kwenda kutupwa kama nguruwe misituni kisa mzungu asiwaone wakizagaa mjini😂😂😂
 
Unadai haki gani hebu jibu swali langu
Hivi leo hujui km serekali yenu haiwatendei haki linapokuja swala la individual..
We unafikiria ni wafanyikazi wangapi hawajilipwa mafao hko bongo..

Mwaka wa ngapi huu hakuna nyongeza za mishara lkn bado mpo kimya, kisha kinachoshngaza mishara haipandi ila kodi inapanda mara dufu hku bidhaa nazo zikipanda
 
Hujajibu swali unataka kuandamana kwa msingi upi na utueleze ipi sababu ya kuandamana???

na wapi uliskia tanzania watu wanaandamana ovyo ovyo
Sawa ngojeni mkulima akamate ndege tena ndio muandamane, mambo mengine ya kibinadamu yakitendeka jificheni katika kivuli cha amani na umoja
 
Wako wapi tuoneshe hzo ndio haki za watoto kenya wanachukuliwa kwenda kutupwa kama nguruwe misituni kisa mzungu asiwaone wakizagaa mjini
Sasa nlikua sitaki kuendelea na huu mjadala lkn naona una force, sasa wewe nionyeshe hao watoto hko msituni manake naona umeleta tweet tu..
Uko na ushahidi gani?
 
Sawa ngojeni mkulima akamate ndege tena ndio muandamane, mambo mengine ya kibinadamu yakitendeka jificheni katika kivuli cha amani na umoja
Mkulima kama alikamata mbona aliachia sasa ili tujue mkulima kiboko 😂😂

tatizo lako ww ni wivu tu kwann air tanzania ina ndege za kisasa tena cash deal 😀😀

Sheria ya ardhi tanzania huwez kumiliki ardhi ww mgeni wakat mwenyej yupo so hilo linafahamika
 
Sasa nlikua sitaki kuendelea na huu mjadala lkn naona una force, sasa wewe nionyeshe hao watoto hko msituni manake naona umeleta tweet tu..
Uko na ushahidi gani?
Mjadala gani ??? Kuwatokomeza watoto wa mtaani machakani ndio haki za watoto hzo tena bora ukae kimya hakuna nchi ina sheria za ovyo kwa binaadamu kama kenya na hili nimeliona kwa macho yangu sio kuhadithiwa😂
 
Hivi leo hujui km serekali yenu haiwatendei haki linapokuja swala la individual..
We unafikiria ni wafanyikazi wangapi hawajilipwa mafao hko bongo..

Mwaka wa ngapi huu hakuna nyongeza za mishara lkn bado mpo kimya, kisha kinachoshngaza mishara haipandi ila kodi inapanda mara dufu hku bidhaa nazo zikipanda
Kama lipi eleza hapa ueleweke individual like what ??? Kama kura kila mmoja alipiga individual so ulitaka iweje???

nani anadai mafao yake na kama yupo taasisi husika zipo nssf zipo aende na kama wakithibitisha kweli lazima alipwe tu

hakuna miaka ambayo wastaafu wamenufaika kama awamu ya magufuli, na linapokuja swala la nyongeza mbona magufuli alieka wazi kua ataongeza lakini wamvumilie aweke mambo sawa ya kimaendeleo

kodi gani imepanda ???? Tuelezee wakat kodi zote za mazao zimefutwa haya tuambie ww kodi gani???? Nasubiria
 
Sawa ngojeni mkulima akamate ndege tena ndio muandamane, mambo mengine ya kibinadamu yakitendeka jificheni katika kivuli cha amani na umoja
Haya ni mambo hutakaa kuyapata dunia hii 😂😂😂👇👇👇👇

Mkulima kama alikamata mbona aliachia sasa ili tujue mkulima kiboko

tatizo lako ww ni wivu tu kwann air tanzania ina ndege za kisasa tena cash deal

Sheria ya ardhi tanzania huwez kumiliki ardhi ww mgeni wakat mwenyej yupo so hilo linafahamika
Hhhhhh!!nimeongea kitu kimoja tu ndio kimekufanya upayuke hvo...
Hapa hupindishi mada kabisa, ukweli ni mnasubiria mkulima azikamate tena ndio mkaandamane nje ya balozi

Manake hilo ndio jambo la msingi sana kw watanzania mitaani
 
Hivi leo hujui km serekali yenu haiwatendei haki linapokuja swala la individual..
We unafikiria ni wafanyikazi wangapi hawajilipwa mafao hko bongo..

Mwaka wa ngapi huu hakuna nyongeza za mishara lkn bado mpo kimya, kisha kinachoshngaza mishara haipandi ila kodi inapanda mara dufu hku bidhaa nazo zikipanda
Wastaafu gani wakat awamu hii imejitahidi sana kuwalipa wastaafu😂😂👇👇

D8C47523-4027-4425-BED7-25F2ADCDB3C4.jpeg
 
Back
Top Bottom