Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ubishi, neno kubanduliwa na kupeleka chaka yote ni maneno ya mtaani au semi za mitaani, na baada ya muda hua zinaadiwa kwenye kamusi na kuwa official kama whatevs lilivokua added kwenye oxford 2019
Sasa wapi uliona nabisha jomba, nlikua najaribu kumuelewesha huyo mjinga baada ya kutaka ku tafsiri hilo neno km lilivyo tayari..

Lkn nashujuru kw kupost kitu cha maana angalau huenda akapata funzo
 
Stand ya kimataifa ya mabus dar es salaam mambo yamenoga
IMG-20201106-WA0012.jpg
 
Wamarekani na technology yote waliyonayo bado wanachukua siku 4 kuhesabu kura
Ni kwa kuwa kutokana na corona, kura nyingi zilitumwa kwa kutumia posta, hivyo bado wanazingojea, pia kuna zile za wanajeshi zinazotoka nje ya nchi.

Majimbo yanayoendelea kuhesabu yanafanya taratibu kwa kuwa hawataki kuwa wa kwanza kutangaza ushindi wa Biden bila kuwa na uhakika.

Hata vyombo vya habari vimekuwa vikiogopa kutangaza kwasababu wanaogopa reaction ya wafuasi wa MAGA .
 
Thank you for exposing your ignorance, your country is too poor! Watu ni fukara wa kiaina, elfu kumi eti ni pesa mingi kwa wengi wenu, cost of living is low in poorer countries like yours, thus cheap things[emoji23][emoji23](vuka border ingia Uganda same case, cheaper things, Malawi,Zambia etc[emoji23][emoji23]) nenda marekani ama Morocco, SA your heaven[emoji50][emoji23] linganisha bei ya bidhaa, hiyo elfu kumi yako uone itakufikisha wapi[emoji23][emoji23] only poor countries in war like crisis kama akina Somalia, CAR, Chad, S.sudan etc na zenye extreme political crisis na economic colapse kama akina Zimbabwe utapata several basic stuff expensive![emoji23] Hampendi ukweli povu ruksa, mtamwaga hadi basi, facts wont change, extreme poverty cases in Tz kwa sasa zimeongezeka hadi mmeipiku Ethiopia hauoni ni aibu bro?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea tu na domo domo raiya wakiendelea kudorora., hapa ni bidii ya mtu binafsi itamkomboa hakuna eti ni Tz ama Ke.[emoji23][emoji23]
Yani ww kitu unaweza nikuropoka kama mwenda wazim, ivi ww hujuagi hata kufanya tafiti zaidi domooo akiliz mzigo
Tafsiri ya kwanini bidhaa za Tz ni bei raisi sababu many of those goods zina zalishwa ndani ya nchi, pia kwa zile final goods cost of production iko chini kwa asilimia kubwa kuanzia umeme na vingine kitu kinach influence resonable price pia stiff compition kwa bidha za kilimo.
Ni mjinga tu kama ww ndio unaweza fananisha bei za bidhaa marecan na Africa alafu ukitegemea ziwe bei zaidi kama cyo wehu, Ivi unajua bei ya umeme Amerca ni kiasigani ukilinganisha na iyo failed state yenu?[emoji116]
Una vitu vingi vya kujifuza zaidi ya kupiga domo , ww uliwai sikia wapi Tz watu wanakufa na njaa? Nyie makapuru wengine mpka wanapika mawe kule turkana hali ni ya hatari uko kunipigia story za umaskini poor you
JamiiForums1313969333.jpg
 
Yani ww kitu unaweza nikuropoka kama mwenda wazim, ivi ww hujuagi hata kufanya tafiti zaidi domooo akiliz mzigo
Tafsiri ya kwanini bidhaa za Tz ni bei raisi sababu many of those goods zina zalishwa ndani ya nchi, pia kwa zile final goods cost of production iko chini kwa asilimia kubwa kuanzia umeme na vingine kitu kinach influence resonable price pia stiff compition kwa bidha za kilimo.
Ni mjinga tu kama ww ndio unaweza fananisha bei za bidhaa marecan na Africa alafu ukitegemea ziwe bei zaidi kama cyo wehu, Ivi unajua bei ya umeme Amerca ni kiasigani ukilinganisha na iyo failed state yenu?[emoji116]
Una vitu vingi vya kujifuza zaidi ya kupiga domo , ww uliwai sikia wapi Tz watu wanakufa na njaa? Nyie makapuru wengine mpka wanapika mawe kule turkana hali ni ya hatari uko kunipigia story za umaskini poor youView attachment 1620939
Huyu jamaa kawaingiza chaka vibaya sana[emoji23][emoji23]
Fanyeni utafiti kwanza before muende katika hizi blog uchwara, na hili ndio tatizo lenu kubwa..
Yani jamaa ukipata unachukua unapost tu bila ya hata kujifanyia research..

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
20201106_195443.jpg
 
Huyu jamaa kawaingiza chaka vibaya sana[emoji23][emoji23]
Fanyeni utafiti kwanza before muende katika hizi blog uchwara, na hili ndio tatizo lenu kubwa..
Yani jamaa ukipata unachukua unapost tu bila ya hata kujifanyia research..

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1620967
Ilo sio kazi yangu nimewaletea alicho toa ndug yenu so ka deal nae sio unilete mm...ila kilicho wazi ni kenya electric fee per unit is much higher compared to Tz .
 
Back
Top Bottom