Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu jamaa kawaingiza chaka vibaya sana[emoji23][emoji23]
Fanyeni utafiti kwanza before muende katika hizi blog uchwara, na hili ndio tatizo lenu kubwa..
Yani jamaa ukipata unachukua unapost tu bila ya hata kujifanyia research..

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1620967
Sasa hivi umejua maana halisi ya neno kuingizwa chaka,ukitaka kujua maana ya neno kubanduliwa njoo dm mrembo
 
Hapo anaposema tony daraja linavunjwa kukikamilika kenyan watakuwa wanakuja kufanya utalii ma kupigia picha.
 
Ndio kwa alfajiri na kuanzia jioni kwa sababu option za mabasi kuingia highway zitakuwa mbili kupitia kwa yusufu na kupitia njia panda ya kuelekea goba ambapo hizo njia zote bado zinatengenezwa
Kumbuka pia wakat bus zinaingia mjin zinakuwa upande wa stand kitu kitakacho saidia sn kweny kuchepuka bila kuleta msongamano
 
Ila nyinyi mumezidi aisee hata kama ni punda musisahau punda anakufa pia😂😂
Unacheka gari wa watu wa kawaida? Wewe pesa yako umeitoa kwa wazazi wako. Haujaitolea jasho kama watu wengine.
 
Hapo anaposema tony daraja linavunjwa kukikamilika kenyan watakuwa wanakuja kufanya utalii ma kupigia picha.
Lack of planning ndio imesababisha daraja hilo kuvunjwa. Mjifunze kuplan kwanza kabla ya kukurupuka.
 
Hapo anaposema tony daraja linavunjwa kukikamilika kenyan watakuwa wanakuja kufanya utalii ma kupigia picha.
Mijitu ina wivu na roho mbaya sana hii, inaomba hata mradi uiairishwe kesho ili tunafanane nao. Wakenya watu wabaya sana
 
Here we comeView attachment 1621402
IMG_20201107_095531_1.jpg
 
Back
Top Bottom