komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sasa ndio nakwambia ukwelBasi baki hivyo hivyo. Sipendi ubishani ambao hauna maana.
Sasa ndio nakwambia ukwelBasi baki hivyo hivyo. Sipendi ubishani ambao hauna maana.
Acha ubishi, neno kubanduliwa na kupeleka chaka yote ni maneno ya mtaani au semi za mitaani, na baada ya muda hua zinaadiwa kwenye kamusi na kuwa official kama whatevs lilivokua added kwenye oxford 2019Sasa ndio nakwambia ukwel
Goli la Membe hili!hapa nafsi imeridhika ila Trump atakubali sasa?🤨.. huyu jamaa anaweza dictator huyu
View attachment 1620713
Huwez niharibia siku manake nakujua vzr sana 😂😂😂😂😂...wakati mwingine inabidi niwe mchokozi kama wewe ulivyo😂😂😂 samahani kama nimekuharibia siku bro, but Africa is mostly like that, a rich continent with big poor populace. Ukombozi ni mtu binafsi tusidanganyane😂😂😂
Kuna sehemu nimepita kweny mtandao mmja wa wamarekani wanalalamika wanasesema georgia 1% counting imekua kama 50% yani toka imefika 99% mpka saivi ni masaa kibao kwaiyo wanasema trump kazurumiwa hapo.hapa nafsi imeridhika ila Trump atakubali sasa?🤨.. huyu jamaa anaweza dictator huyu
View attachment 1620713
Kwani arizona si biden alishinda??[emoji91][emoji91][emoji16]
View attachment 1620714
Hatari sana.Wamarekani na technology yote waliyonayo bado wanachukua siku 4 kuhesabu kura
Lazima watu wakubali kwamba Tanzania ni mfano wa kuigwaWamarekani na technology yote waliyonayo bado wanachukua siku 4 kuhesabu kura
Hapo pa kuijinka kidogo umezuga , emu fafanua vizuri huenda ukaeleweka
Kuinjika/kuevika kinyume chake kuevua/kuepua! Haihusiani na kubanduliwa.Kiswahili ni kujifunza na kukiishi.
Najaribu kukueleza kwa kugha ya picha na fasihi huelewi.
Kubanduliwa maana yake ni kuliwa nyuma.
Jifunzeni kiswahili na ukuaji wake. Kuna watu wanaeweza wasisikilize taarifa zenu.
Inakaa Biden atashinda zaidi ya 280 electoral votes![emoji91][emoji91][emoji16]
View attachment 1620714
Kwaiyo hizi gari zote huku Bongo ni Mali ya Kiambu Mafia sio?Nyie tunawajua sana kama wewe hapo na mdomo yako kubwa huna chochote ata pikipiki.Nyie maccm tunawajua wazee wa buku saba kusema na kusema tu