Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio niona slabs , nilicho sema speed itaongezek pale pillars sote zikikamilik , hope tumelewana
Nadhani by June 2021 tutaanza kuona baadhi ya sections piers zimeunganishwa kwa slabs na cables!
 
Ilo sio kazi yangu nimewaletea alicho toa ndug yenu so ka deal nae sio unilete mm...ila kilicho wazi ni kenya electric fee per unit is much higher compared to Tz .
Hahaha!!we kakojoe ulale tu[emoji23][emoji23]
 
Ni kweli....nahisi watakuwa wanaingilia kwa kule nyuma wakati uku mbele kunaendelea na ujenzi
Watasababisha foleni tu manaake hiyo njia itabidi itumike kwa magari kuingia na kutoka pia alafu ni ndogo
 
Watasababisha foleni tu manaake hiyo njia itabidi itumike kwa magari kuingia na kutoka pia alafu ni ndogo
kwani hujui pale kuna high way ya njia nane na imesha pita ...iyo foleni labda afajir ...na huwa asubhui hakuna magari mengi so kwakutumia kama contingency plan kwa sasa sio mbaya
 
kwani hujui pale kuna high way ya njia nane na imesha pita ...iyo foleni labda afajir ...na huwa asubhui hakuna magari mengi so kwakutumia kama contingency plan kwa sasa sio mbaya
Ndio kwa alfajiri na kuanzia jioni kwa sababu option za mabasi kuingia highway zitakuwa mbili kupitia kwa yusufu na kupitia njia panda ya kuelekea goba ambapo hizo njia zote bado zinatengenezwa
 
CBD to Westlands overpass work has started
1604687291697.png
50572841333_c10887d6f8_b.jpg
50573719087_d560c5a3a4_b.jpg
50572840948_211b0418b8_b.jpg
 
Back
Top Bottom