Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wenzako wanazitilia hela we endelea kubweka mtandaoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Kanunue benz na kimshahara wenzako wananua probox na ni wafanyibiashara wakubwa..hapo zuka ni nani..

mnajaza vipanya town foreni isiyotatulika,kwa akili zako unadhani huku gari za biashara hazipo!!!!

kama unataka gari ya biashara zipo kibao ila sio kubaka matumizi gari isiyo sahihi.
 
mnajaza vipanya town foreni isiyotatulika,kwa akili zako unadhani huku gari za biashara hazipo!!!!

kama unataka gari ya biashara zipo kibao ila sio kubaka matumizi gari isiyo sahihi.
Hahaa!!sasa unaumizwa na kipi haswa nikikuuliza
 
Moto ni uleule hakuna kulala
Screenshot_20201105-195913.png
 
Jamaa hataki kukauka midomoni mwa watu Kila siku kiki ili watu wamzungumzie tu
sasa kuna ubaya gani kutembelewa na mama watoto? Zari anaenda kudungwa mimba ya tatu na akitoka Zari, Tanasha Donna atafuatia!
 
Sikutegemea mtu kama ww kuandika huu upupu😂😂😂😂
That is a fact😂😂😂 naona ukweli umewatesa wewe na wenzako, weka facts basi sio blah blah, mko ovyo zaidi mnavyo dhania.
 
Ivi ww mbna unaongea kama hayawani ? Ivi unajua kwa Tz mtu akiwa tu na elfu kumi ana consume more than mtu akiwa na same amount in kenya ww unaongela namba badala ya uhalisia wa dhaman za namba zenyew
Yani Tz ni mara kumi bora kuliko kenya ndio mana watu wa mipakan wanakuja kufanya manunuzi huku kuliko huko sabab pesa yenu kwenye parchesing power ni ndogo so acha kuimba tarabu zako za nadharia
Thank you for exposing your ignorance, your country is too poor! Watu ni fukara wa kiaina, elfu kumi eti ni pesa mingi kwa wengi wenu, cost of living is low in poorer countries like yours, thus cheap things😂😂(vuka border ingia Uganda same case, cheaper things, Malawi,Zambia etc😂😂) nenda marekani ama Morocco, SA your heaven😮😂 linganisha bei ya bidhaa, hiyo elfu kumi yako uone itakufikisha wapi😂😂 only poor countries in war like crisis kama akina Somalia, CAR, Chad, S.sudan etc na zenye extreme political crisis na economic colapse kama akina Zimbabwe utapata several basic stuff expensive!😂 Hampendi ukweli povu ruksa, mtamwaga hadi basi, facts wont change, extreme poverty cases in Tz kwa sasa zimeongezeka hadi mmeipiku Ethiopia hauoni ni aibu bro?😂😂😂😂 endelea tu na domo domo raiya wakiendelea kudorora., hapa ni bidii ya mtu binafsi itamkomboa hakuna eti ni Tz ama Ke.😂😂
 
huu ni ugoro umechanganya na mtindi na ngorotiii yani ni utopolo umeandika
😂😂😂😂
Hampendagi ukweli😂😂😂😂 huwa mnateseka sana mkiona ukweli mbona hivyo?😂😂😂 nchi ya watu fukara yet rich😂😂 a paradox, matatizo ni eti most of you have weak mental structure so mna manifest low IQ mostly, matunda yake ni low life kwa wingi on average. Povu ruksa lakini itabidi mtie bidii😂😂
 
O

Hakuna kitu kingine kipya huko Kenya!?
Maana picha ni zile zile.
Hii inaonesha kuwa mmeshindwa.
Nini kipya Dar😂😂 same modern look developed area which is aprox10-15% of the whole sq km!😂😂😂 kwingine kote tunafahamu sana! Nothing significant kwa sasa pande zote mbili ama utaniambia eti three level?😂😂😂
 
Nini kipya Dar😂😂 same modern look developed area which is aprox10-15% of the whole sq km!😂😂😂 kwingine kote tunafahamu sana! Nothing significant kwa sasa pande zote mbili ama utaniambia eti three level?😂😂😂
Can you please tell us what do you have but we don't have!?
I will tell you that we have but you don't.
 
Back
Top Bottom