Kule Zanzibar wana maneno yao, kama hujazoea utakuwa unaacha mdomo wazi kila wakati.Media ya bongo haiwezi kuandika tungo tata kama hii:
impeach ina tafsiri nyingi sana kwa kiswahiliWhen he was impeached! Kwa Kiswahili nikubanduliwa! Alibanduliwa but Senate ili muokoa.
Kiswahili hujui.When he was impeached! Kwa Kiswahili nikubanduliwa! Alibanduliwa but Senate ili muokoa.
😀 Mkuu umetoa boko kwenye neno kuinjika, ni tofauti sana na bandika.Kiswahili hujui.
Kubandua ni kinyume cha kubandika au kuinjika.
Kwenye vitendo kuna: kutenda, kutendeka, kutendewa, kutendwa, kutendeana, kutendewatendewa nk.
Neno kubanduliwa limetokana na kubandua. Kwahiyo ni kutendewa.
Sasa niambie huyo Trump alikuwa amebandikwa wapi mpaka anabanduliwa!?
Jifunze kiswahili.😀 Mkuu umetoa boko kwenye neno kuinjika, ni tofauti sana na bandika.
Vingekua sawa tungesema bandua chungu jikoni 😀
Impeach is kuenguliwa in Kiswahili banduliwa comes from bandua there has to be a glue to detach 2 stuffs! Kwa mfano picha inabanduliwa toka ukutani ilipobandikwa!When he was impeached! Kwa Kiswahili nikubanduliwa! Alibanduliwa but Senate ili muokoa.
[emoji23][emoji23][emoji91]🤞🏾
Unapoambiwa "umeingizwa chaka" huaga watu wanamaanisha nn au watu hupelekwa vichakani[emoji848]Kiswahili hujui.
Kubandua ni kinyume cha kubandika au kuinjika.
Kwenye vitendo kuna: kutenda, kutendeka, kutendewa, kutendwa, kutendeana, kutendewatendewa nk.
Neno kubanduliwa limetokana na kubandua. Kwahiyo ni kutendewa.
Sasa niambie huyo Trump alikuwa amebandikwa wapi mpaka anabanduliwa!?
Hapo pa kuijinka kidogo umezuga , emu fafanua vizuri huenda ukaelewekaKiswahili hujui.
Kubandua ni kinyume cha kubandika au kuinjika.
Kwenye vitendo kuna: kutenda, kutendeka, kutendewa, kutendwa, kutendeana, kutendewatendewa nk.
Neno kubanduliwa limetokana na kubandua. Kwahiyo ni kutendewa.
Sasa niambie huyo Trump alikuwa amebandikwa wapi mpaka anabanduliwa!?
Kuna Nahau, Misemo, Methali, tamathali za semi na Vitendawili.Unapoambiwa "umeingizwa chaka" huaga watu wanamaanisha nn au watu hupelekwa vichakani[emoji848]
Kiswahili ni kujifunza na kukiishi.Hapo pa kuijinka kidogo umezuga , emu fafanua vizuri huenda ukaeleweka
"Kunyanduliwa" wala sio kubanduliwaKuna Nahau, Misemo, Methali, tamathali za semi na Vitendawili.
Hebu niambie neno kubanduliwa limetumika kama nini!!?
Maana kwa lugha ya vificho kubanduliwa maana yake ni kufirrrwa matak0ni
Basi baki hivyo hivyo. Sipendi ubishani ambao hauna maana."Kunyanduliwa" wala sio kubanduliwa
Na hilo ni neno la sheng tanzania mnalitumia tu
Sasa hata hilo neno kw trump halihitaji direct translation jombaKuna Nahau, Misemo, Methali, tamathali za semi na Vitendawili.
Hebu niambie neno kubanduliwa limetumika kama nini!!?
Maana kwa lugha ya vificho kubanduliwa maana yake ni kufirrrwa matak0ni