Hadi wanamwabudu jpm sababu ya hiyo interchange..... Imagine Uhuru amefanya project mob huku tena kubwa lakini hukuna mtu anayemsifia,yani hiyo inakuambia Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kenya na Tz....yani Wakenya wamezoea maendeleo na tena kujengewa barabara,flyover,airport ni haki ya mwananchi wala sio bidii ya mtu fulaniTanzania wanainterchange moja pekee halafu wanataka kubishana na Kenya wabwege sana
Usishangae hata serikali ya JPM imekuwa ikivua watu Uraia pale inapokosolewa!Geza Ulole sio Mkenya wewe ng'ombe. Kwa hivyo mtu yeyote akiwapinga kidogo basi mnambatiza Ukenya? Nyie endeleeni kusherehekea kilichotendeka lakini mwishowe mtaelewa umuhimu wa upinzani. Kumbe Barbarosa unakuanga mjinga hivyo?
Nani kakudanganya?...Kilimani ni mtaa wa kidosi watakosa aje maji?
Ccm bungeni always wamekua na viti vingi kuliko chama chochote, ilikua na haja gani mpaka CCM washinde viti vyote ndio wafanikishe hilo jambo? Kwani isingewezekana kufnya hilo wakiwa wapinzani?Hili ndo linaenda kutendeka! mbona lipo wazi subiri uone CCM true colors! Baada ya Ndugai, Majaliwa na Kabudi na wale wengine 30+ kupita bila kupingwa kinachofuata na kulipa fadhila!
Mbona isiwe Xi Jinping? Mbona Chinese Embassy in Tanzania ndio inampongeza JPM? Kwa kawaida hio huwa kazi ya rais au waziri mkuu wa nchi husika. Hio sio kazi ya embassy.
Jifunze katiba inasema nn kuhusu kubadili term limit kwanza!Ccm bungeni always wamekua na viti vingi kuliko chama chochote, ilikua na haja gani mpaka CCM washinde viti vyote ndio wafanikishe hilo jambo? Kwani isingewezekana kufnya hilo wakiwa wapinzani?
Leta ya 2019 na 2018 nikuonyeshe kituBado hawajatoa.
Nashangaa sana jpm amejenga interchange moja na brt anaabudiwa Kama mungu uhuru Kenyatta amefanya mengi lkni bado anatukanwa kupindukia there is something wrong in TanzaniaHadi wanamwabudu jpm sababu ya hiyo interchange..... Imagine Uhuru amefanya project mob huku tena kubwa lakini hukuna mtu anayemsifia,yani hiyo inakuambia Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kenya na Tz....yani Wakenya wamezoea maendeleo na tena kujengewa barabara,flyover,airport ni haki ya mwananchi wala sio bidii ya mtu fulani
Jpm ni magufuli toka kitambo Hata Adolf Hitler alianza vizuri alileta maendeleo ya Hali juu ujerumani lkni baadaye unajua kilichofanyikaUsishangae hata serikali ya JPM imekuwa ikivua watu Uraia pale inapokosolewa!
TENA CCM NDO IMERUDI MADARAKANI, HATA HIYO MOJA ITAKUFA TU..😂😂😂Tanzania wanainterchange moja pekee halafu wanataka kubishana na Kenya wabwege sana
sikuhiz kwanza policy za mabeberu hawadeal na taifa zima au wananchi wote.. wanadeal na individuals .. but hata hivyo hakuna watakachofanya
MATAGA YATAENDA KUITUMBUKIZA HII NCHI KWENYE UMASIKINI WA KUTUPWA.Rudi ukajifunze vyema juu ya duwa la kuku....
Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige kifua tu. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.sikuhiz kwanza policy za mabeberu hawadeal na taifa zima au wananchi wote.. wanadeal na individuals .. but hata hivyo hakuna watakachofanya
Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige tu kifua. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
Uhuru hana option. Tanzania is one of our largest trading partners. Hata mkifanya upuzi upi bado atampongeza tu mshindi kwa sababu anajaribu kulinda maslahi ya Kenya. Nyie lazima muendelee kununua bidhaa zetu kwa hivyo lazima Uhuru afumbe macho ila wazungu hawana unafiki huo. Ngojeeni kiboko cha mabeberu. Itashuka hivi karibuni kwenye migongo zenu.[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1617037
Takataka zinazoabudu na kulamba miguu wazungu.Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige kifua tu. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige kifua tu. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
Huyu analinda maslahi ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1617037