Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Iliyoishia 2020 katekeleza kwa 31%,hiyo 80% itatoka wapi? muwe mnafuatilia mambo sio kuhemka tu,uongo + ufisadi ndio roho ya maccm..tukutane oktobaNa anachowachanganya ccm walaji ni kwamba hayo yaliyo kwenye manifesto anayafanya kweli tofauti na kipindi kile unakuta kilichoandikwa kwenye ilani hakifanyiki japo kwa asilimia 30 lkn huyo mzee atahakikisha hyo ilani japo asilimia zaidi ya 80 anaitekeleza na hyo ndiyo tofauti.
Yanawezekana mengi yamefanyika ila kama haujaona basi tafuta kazi ingine ufanyeHili linawezekana tu kama wataacha miradi yao ya tembo mweupe ya sgr,stiglaz ,mindege ,masteni nk la sivyo hii ni ndoto maana toka Magu adanganye kuunganisha nchiyote kwa lami hadi leo hii hakuna cha maana kimefanywa na mbaya zaidi hatumchagui
Ndege hazijanunuliwa?SGR haijengwi?JNHED haiejengwi?Do you know what is tembo mweupe???Hili linawezekana tu kama wataacha miradi yao ya tembo mweupe ya sgr,stiglaz ,mindege ,masteni nk la sivyo hii ni ndoto maana toka Magu adanganye kuunganisha nchiyote kwa lami hadi leo hii hakuna cha maana kimefanywa na mbaya zaidi hatumchagui
Kwn takeimu hazionekanimbona Kagwe hatangazi tena?
I wonder how can u guys manage to give him attention whilst we had already decided not to give him air time, he's a troll don't consider him guys.Either way ....he does not deserve attention of people with normal brains in head
Thank you kwa kutukumbushaI wonder how can u guys manage to give him attention whilst we had already decided not to give him air time, he's a troll don't consider him guys.
Hio ndio Mbeya 😳 😳 😳 😳 Uswazi culture is very deeply rooted. Yani vibanda kila kona!!!!Ona aibu ya maccm kuifanya nchi yote kujaa slums tupu,kazi gani maccm yanaweza kama kupimaviwanja vya makazi tu ya watu wake hawawezi.
Ndg zangu swala la mpangilio wa makazi ni tusimlaumu magufuli ni la miaka mingi kuanzia miaka ya tisini, kwa kweli kama kuna kitu awamu zilizopita hasa ya pili tatu na nne ni kushindwa kuwa na mpango mzuri wa makazi, na inasikitisha kuona kuwa hii idara ya mipango miji ilikuwepo. Binafsi sijaona umuhimu wa uwepo wao wanalipwa pesa ya uma alafu mini yetu inakuwa iswahili mtupu.Hio ndio Mbeya 😳 😳 😳 😳 Uswazi culture is very deeply rooted. Yani vibanda kila kona!!!!
Ukiangalia vizuri unaweza kukuta ni @Rizi Rizla!huyu jamaa sijui yupo sayari gani!! unaota kweli, watu kama ww hamfai kabisa kwenye shughuli zozote zile za maendeleo mnakosa uzalendo kabisa na kurudisha sana watu nyuma yani ww huoni jema lolote lile umekalia ubaya ubaya tu na chuki za ajabu au sababu kubwa kibarua chko hicho cha mbao kimeota nyasi? kama ni hvyo basi nikuhabarishe kuwa hakuna mtu aliokuwa hakuyumba kiuchumi kwenye awamu hii kwa njia moja ama nyengine ila angalau mambo mengi yanafanyika sana tu na yanaonekana ila ww unajifanya kipofu kabisa, kama ni vitani basi ww utakuwa umefanya "Mutiny" na ni wakupigwa risasi tu..... shwaainnnn🤬😡😡
imebanwa na nani??? ww ni ushuzi 😂😂😂 yani unataka kufanya watu wote humu hatuna macho na akiliccm imekabwa kila kona inapumulia mashine huku mgombea wao akitishia watu na frastration maana kila akizungumzia sgr,stiglaz and the likes watu hawamuelewi,wanataka chakula mezani
alaf wakiacha waje kukulisha ww bwana mkubwa 😂😂 yani aache miradi ya kizazi na kizazi aangalie tumbo lako ww, ww kama biashara yako ya mbao imetumbuliwa tulia bana hilo dinvi lisitoke kwanzapHili linawezekana tu kama wataacha miradi yao ya tembo mweupe ya sgr,stiglaz ,mindege ,masteni nk la sivyo hii ni ndoto maana toka Magu adanganye kuunganisha nchiyote kwa lami hadi leo hii hakuna cha maana kimefanywa na mbaya zaidi hatumchagui
Acha ujinga weweHili linawezekana tu kama wataacha miradi yao ya tembo mweupe ya sgr,stiglaz ,mindege ,masteni nk la sivyo hii ni ndoto maana toka Magu adanganye kuunganisha nchiyote kwa lami hadi leo hii hakuna cha maana kimefanywa na mbaya zaidi hatumchagui
anaongea kwa hasira ndio wale waliotumbuliwa walizoea vya kuserereka😂😂😂😂Yanawezekana mengi yamefanyika ila kama haujaona basi tafuta kazi ingine ufanye