tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kenya wanaweza nn ukiwacheki?HawaelewekiHii distance ni zaidi ya mara mbili Dar-Zanzibar! Kuna watu Likoni bridge (less than 1km) limewashinda!
Kenya wanaweza nn ukiwacheki?HawaelewekiHii distance ni zaidi ya mara mbili Dar-Zanzibar! Kuna watu Likoni bridge (less than 1km) limewashinda!
Umeona hii 👇 ? 2026 inafunguliwa nothing is impossible Kwa hawa jamaa pretty soon tutaskia Beijing-Tokyo bridge!Kenya wanaweza nn ukiwacheki?Hawaeleweki
Yaani sisi tunapigana kujenga barabara zetu zenye vumbi you hao uko walishatoka wanapita chini kwa chini baharini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeona hii [emoji116] ? 2026 inafunguliwa nothing is impossible Kwa hawa jamaa pretty soon tutaskia Beijing-Tokyo bridge!
Mchina keshawapiga!Yaani sisi tunapigana kujenga barabara zetu zenye vumbi you hao uko walishatoka wanapita chini kwa chini baharini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna wazushi wanajenga elevated highway km 11tu washaanza kusema watakua level moja na hao jamaa...
cc wakenya aliewaloga alikua fundi
Jana niliona vikosi vya wazee vikipita pale Tazara vinaelekea kusini nadhani ndiyo wanaenda kumaliza mchezo na hutasikia choko choko [emoji3][emoji3][emoji3]Hizi ni njama za manguruwe ya west ili Magu asiende kupiga kampeni Kusini, we unafikiri raia wa hayo maeneo watauaje watu wa jamii yao? Walijaribu kwenye mapango Tanga wakapukutishwa, wakajaribu pwani wakapotezwa na hapo wamechokoza. Usisahau kuwa inapokuja swala la ground force tuko vizuri kuliko hata wanavyoturate.
so tumemaliza kwneye suburb tayar😂😂😂😂kumbe umetumana picha za mitaa yote mwanza hakuna estates za upper class hko[emoji23][emoji23][emoji23]
Manake naona nyumba za kawaida tu
Kati ya hzo ni gani unaikubali tuishindanishe na mtaa wa kawaida tu mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]
nani huyo kasema ruto hustler😂😂😂Nimesikia Tanzania mumerudi LDC 😂😂😂😂😂😂
nairobi ya 3km all the way 😂😂😂😂Unafikiria nairobi ni km dar eti ukitoka CBD ni unakatiza uswazi[emoji23][emoji23]
sasa hvi munauwana kwa koo👇👇👇 sio tena kabilaNimesikia Tanzania mumerudi LDC 😂😂😂😂😂😂
Si mchezo mzee quality yake ni noma, tunasubiri export ya kufa mtu [emoji122][emoji122][emoji122]Tutaelewana tu
Mbn wamejenga mkuu[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii distance ni zaidi ya mara mbili Dar-Zanzibar! Kuna watu Likoni bridge (less than 1km) limewashinda! [emoji115] 😀😀[emoji2297][emoji115][emoji115]