komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Jamaa siku hizi mnaogopa video sana



Jamaa siku hizi mnaogopa video sana



Hyo suburb inajiitaje tutafute video zaketafuta suburb kubwa kama hii mombasa nzima bro ukipata nitag mm
hiii inatwa mwanza city
View attachment 1607921View attachment 1607922View attachment 1607923View attachment 1607924View attachment 1607925View attachment 1607926View attachment 1607927View attachment 1607928
View attachment 1607931



Hapo ni mwendo wa mto pakinyesha, huaga mnatumia mdamu kuvukia ama
Halafu hivi vicounty i vidogo sana, ni kama wilaya tu huku kwetu😂😂😂😂😂😂
Ila kuna kitu tunajisahaulisha sana kuhusu democracy ya US, tumesahau wale wanaofanya uamuzi mwishoni na kumpangia raisi ambao wana nguvu ambayo hata hatuijui vizuri. Hii ndio ile maana halisi ya ukiiga tembo akinya utapasuka msambaNa ndiyo nchi pekee iliyoendelea chini ya kivuli cha democracy lkn pia nao democracy iliwachelewesha mno kuwa developed japo uzalendo uliwasaidia sn, ss kwa nchi zetu za kiafrika ni ngumu sana kuendelea chini ya kivuli cha democracy cz hatuna uzalendo kutokana na njaa inayitusumbua.
Mkuu US ilishaendelea na hata kipindi chao cha democracy wamewaongezea sana muda viongozi waliofanya vizuri, mfano mzuri ni yule aliekaa mpaka akafia madarakani, mwingine ni bush na wengineo ambao hatuwajuiUnaiongeleaje the US?
Yah Rais wa Marekani hana mamlaka kivile bali anapangiwa cha kufanya co km huku kwetu Raisi ndiyo kila kitu.Ila kuna kitu tunajisahaulisha sana kuhusu democracy ya US, tumesahau wale wanaofanya uamuzi mwishoni na kumpangia raisi ambao wana nguvu ambayo hata hatuijui vizuri. Hii ndio ile maana halisi ya ukiiga tembo akinya utapasuka msamba
Kwanza ukibrainstorm kwa umakini unagundua democracy ni rebellion against the head of state. Sasa kama head of state hafai ni win-win ila kama ni muadilifu ni loss.Kwa hapa Tanzania ni km democracy haipo cz tunaongozwa na chama kimoja tu tangu uhuru ss ninachoogopa mm ni kwamba pale ccm kuna wanafki wengi sn itakuwa ngumu kumpata kiongozi mwenye maono km huyu so ni bora tuongozwe na huyu huyu tu kwa japo miaka 20 au 30 ndo wengine waje.
So basically yeye ni msemaji na mwakilishi wa something big behind.Yah Rais wa Marekani hana mamlaka kivile bali anapangiwa cha kufanya co km huku kwetu Raisi ndiyo kila kitu.
We need something efficiency rather than beautiful, hata mke mzuri atakutia stress. Unachotakiwa ni mke ambae yupo loyalBut democracy is beautiful!
We with who?We need something efficiency rather than beautiful, hata mke mzuri atakutia stress. Unachotakiwa ni mke ambae yupo loyal
We AfricanWe with who?
I am African too n I don't share ur opinion!We African
Haha,hapo umeona nyumba gani za kuishi,just small shops
Lipstic brt...only BRT