Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,791
aaawapi 30,000 PAX per annum mbona ndogo sanaa! Arusha, Songwe na Dodoma wana PAX kubwa per annum!Hahahaha lakini nafikiri Ukitoka route ya Mwanza, Bukoba inafuata kwa kuwa tense
aaawapi 30,000 PAX per annum mbona ndogo sanaa! Arusha, Songwe na Dodoma wana PAX kubwa per annum!Hahahaha lakini nafikiri Ukitoka route ya Mwanza, Bukoba inafuata kwa kuwa tense
Yeah Yeah dah nilishasahau Dodomaaaawapi 30,000 PAX per annum mbona ndogo sanaa! arusha na Dodoma wana PAX kubwa per annum!
aawapii mzee at 30,000 PAX bado saana ndo maana route zake ziko linked na Mwanza na Kigoma kwa vile uwanja hauna nyomi la kutosha!Yeah Yeah dah nilishasahau Dodoma
Lakini kwa Airtanzania, Bukoba ni lucrative
Mwenyewe nashangaa kale kauwanja kamekula pesa ambayo ukiitafuta imetumikaje pale huoni dahaawapii mzee at 30,000 PAX bado saana ndo maana route zake ziko linked na Mwanza na Kigoma! Nshomile inabidi wajititimui igonge hata 100,000 uwanja ule ume-cost zaidi ya $50 mln!
Tunaenda kuwa na airport with international standards
Dar
Dodoma
Kilimanjaro
Zanzibar
Mwanza
Kigoma
Shinyanga
Tabora
Sumbawanga
Bukoba
Watupie jicho na Arusha jamani doh
Arusha Karibu sana na KiaTunaenda kuwa na airport with international standards
Dar
Dodoma
Kilimanjaro
Zanzibar
Mwanza
Kigoma
Shinyanga
Tabora
Sumbawanga
Bukoba
Watupie jicho na Arusha jamani doh
Basi lenyewe kanunua matatu ya mtu sio jipya hilo wamepaka Tuu rangiihawa nguruwe huwa wanatucheka eti rais wetu anazindua vitu vya ajabu ajabu,hii kununua basi na kutangaza sijui tuseme nini?
basi lenyewe sasa![]()
Huko tulishafunga mjadala kama kwenye usafiri wa mabus, train, majiNaona na Upande wa Airport Tumesha wachapa Kitambo
Yeah lile jengo tu sababu watalii wengi sana wanapita paleArusha Karibu sana na Kia
Labda Waboreshe Jengo
Kabisa Lingepigwa Lakibabe Ingeoendeza hata kama DogoYeah lile jengo tu sababu watalii wengi sana wanapita pale
International airport lazma iwe na uwanja wenye runway ya urefu zaidi ya 2500 m! Hapo Dar, Dodoma (after current extension), Kilimanjaro, Mwanza, Songwe, Mtwara (after current extension) na Zanzibar! Hivyo vingine si international according to IATA n ICAO standards! Mfugale kaelezea hivi vingine vitakuwa na urefu gani!
Kilometres 1.7 Tabora, Shinyanga almost kilometres 2, Sumbawanga 1.6
Nyie mpunga umeshaachiliwa huku 😅😅😅😅🙏😭
Gombe International Airport Kigoma
View attachment 1608636View attachment 1608637View attachment 1608638
Hivi huu wa Chato runway yake ina urefu gani? inakaakaa kama zaidi ya 2500m!Kilometres 1.7 Tabora, Shinyanga almost kilometres 2, Sumbawanga 1.6
Ukipata F5 kutoka tz nitagWivu![]()
Uchochoro km kawaUhuru street - kariakoo, Dar es salaam
View attachment 1607813
kabisaa, kwa maoni yangu Tanga kunahitaji kiwanja kikubwa (runway 2500 m) haswa kwa ukubwa wa Mkoa na ujio wa bomba la mafuta Waganda watakuwa wanakuja sana Tanga kwa ajili ya shughuli za bandari kutakapokuwa na storage tanks zao na meli za mafuta nyingi! Na pia to an extension Wakongo, Warundi na Wanyarwanda!Arusha Karibu sana na Kia
Labda Waboreshe Jengo
Hiyo kariakoo ilisanifiwa wakati magari hayakuwepo (1800s), ni kama vile mji mkongwe (Zanzibar) ilivyokuwa na barabara finyu.Uchochoro km kawa