Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,907
- 103,771
Dah yaani walitaka uwanja mwingine? Huu uliopo umekuwa mdogo ama? 🤷♂️ 😀Yeah, Bukoba hakukuwa na control tower component sababu hata hivyo plan ilikua wajenge uwanja mwingine mkubwa zaidi na walikuwa wameshaanza compensation tayari, Magufuli akawaambia waupanue huo huo mpaka kule ziwani wareclaim kuliko kuingia gharama nyingine kubwa zaidi.
Huu wa Kigoma ni mkubwa kimtindo
View attachment 1608653View attachment 1608654View attachment 1608655
