Watuonyeshe Kama mwanza Tanzania second largest City Iko na infrastructure Kama hzoView attachment 1607550The booming Mombasa City
Oct 21, 2020 5:56 PM
![]()
Mombasa city is currently the second biggest city in Kenya both in population, infrastructure, economic output and size, it the biggest in the coastal region and the headquarters of both the county and the region, it is the oldest city in Kenya for it started long time ago as a trade center.
![]()
The city is very popular due to it's attractive beaches and world class hotels which attracts huge numbers of tourists from all over the world.
It holds the biggest port in East Africa. Mombasa is currently undergoing massive development especially in infrustructure under both the national government and the county government.
View attachment 1607522
View attachment 1607523
View attachment 1607524
View attachment 1607550
View attachment 1607552
Kama walivyoshabikia kupima Corona, hivi sasa huwasiki tena [emoji23][emoji23]
👇👇👇👇 unafahamu nn kuhusu miondombinuWatuonyeshe Kama mwanza Tanzania second largest City Iko na infrastructure Kama hzo
Ngoja wewe na mwezio Teargass niwaonesha kasoro iliyopo ya nadharia ya kuweka nchi zote kwenye kapu moja la umaskini kwa kigezo cha kupata chini ya $1.90 kwa siku.
Kama dhumuni la pesa ni kununua, swali la kujiuliza ni je, hiyo $1.90 inaweza kununua nini?
kama kuna nchi 'A' ambayo $0.99 inanunua milo miwili ya siku na nchi 'B' $3 haiwezi hata kununua mlo mmoja, utamuitaje mtu wa nchi 'A' masikini wakati anaweza kupata chakula kwa $0.99? Utatumiaje kigezo cha $1.90 kuelezea umaskini wa nchi zote mbili? Je, hamuoni kuwa yule wa nchi 'B' asiyeweza kula kwa $3 ndiyo masikini kwasababu inabidi apate msaada wa chakula?
Mafisadi ya Kenya yana wafeki raia wao ili wazidi kuibia nchi hapa EA Tanzania inaongoza kwa uchumi ikifuatiwa na Ethiopia Kenya ni yatatu kwa SasaWakenya hivi kufake data mpaka mnakua aibu kiasi hiki ni kwa faida gani?
Organizations kubwa duniani zinaishangaa Kenya yenye less than faked 11k kilometres kuclaim kwamba wana kilometres 25k [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamesema wakitoka hapa wanaingia kwenye GDP
A tale of twists and turns in Kenyatta’s claims about improving Kenya’s roads | Africa Check
Ni ju hamuwezani,hahaUngejua hiyo GDP serikali ya tz haina hata mpango nayo...hatuna mda wa kufikiria vitu za kijinga sisi