Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya 60% masikini wa kutupwa
Screenshot_20200813-071858~2.png

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania gani mmejenga nyinyi masikini?....daraja mbili flyover mbili na tower tatu ndio zinafanyamuone kama tunatoshana kimaendeleo?
Mji wowote duniani km hauna infrastructures za treni ya umeme huo mji ni wa kizamani, hata mm nashangaa nairobi kujilinganisha na Dar ni aibu sana cz Dar kuna infrastructure za gharama mno kuliko Nairobi, hii battle ipo kwa ajili ya kuwaamsha akili muone nchi za wenzenu zinavyofanya [emoji3][emoji3]
 
Haha ikifika kwa poverty line nyinyi mtakua 80% ikiwa maskini hohehahe ni zaidi ya nusu ya population yenu
Sikia nikwambie, ukweli upo hv [emoji116][emoji116]

Mji wowote duniani km hauna infrastructures za treni ya umeme huo mji ni stone age city [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nusu ya population yenu ni maskini wa kutupwa hawana huo uwezo wa kuabiri reli ya sgr, mnajengea nani?
Ukishamaliza kulia soma tena [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Sikia nikwambie, ukweli upo hv [emoji116][emoji116]

Mji wowote duniani km hauna infrastructures za treni ya umeme huo mji ni stone age city [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nusu ya population yenu ni maskini wa kutupwa hawana huo uwezo wa kuabiri reli ya sgr, mnajengea nani?
Mji hauna infrastructure za treni ya umeme wala BRT ss tunashindanisha nn hapa? Ni matusi kulinganisha Dar na Nairobi kwa ss cz miji ya kisasa co majengo tu bali na infrastructure za kisasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nusu ya population yenu ni maskini wa kutupwa hawana huo uwezo wa kuabiri reli ya sgr, mnajengea nani?
Mm Wakenya huwa nawa zoom af nacheka sn mnapojisumbua kulinganisha Dar na Nairobi cjui mnamaanisha nn yn, Dar kwa ss iko mbele ya nairobi mkubali au mkatae numbers don't lie.
 
Mji wowote duniani km hauna 3level interchange japo moja huo mji ni stone age city [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yani tangu mpate uhuru 1960s mpk leo mnashindwa kuwa na BRT system kweli kabisa jamani? Sisi tumekuwa nayo kitambo, Afrika imelaaniwa kwakweli yn treni ya umeme kule UK ipo kabla ya nchi nyingi za Afrika kupata uhuru lkn mpk leo kuna nchi wazembe sn bado wanatumia treni za kuni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom