Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Outside Dodoma
om122.jpg
 
Oyaa wadaslam mnazingua ..kubalini nairobi ni pazuri mara kumi kushinda dar ..pale ni international city wakati dar bado ni "kijiji cha wavuvi" hahaha siyo mimi walisema wale "first grade" a.k.a watu weupee ..sisi ni nani tubishe😀😀😀

Uko kwa mataifa hawajui kama kuna kajiji kanaitwa dar ..wewe uko zako uko buza au tandale kwa tumbo kazi kupumuliana hewa chafu na mitaro yenye kinyesi imepita katikati ya nyumba eti unaanza kuiponda Nairobi, pumbavu kabisa..

Wewe pangu pakavu hata nje ya bongo ujawahi kwenda unaanzaje kufananisha Nairobi na dirty city kama dar?? Zile slums pengine ni mkakati zimeachwa huoni Hollywood wanatimba kucheza movies nyingi tu maeneo yale?

Nyie mmekalia kujazana ujinga tu huku eti Dar ni zaidi ya Nairobi pumbavu kabisa.. tuulize sisi tuliosafiri miji kadhaa hapa Africa, siyo unaleta vipicha vya flaiova mmedanganywa na raisi wenu viflaiova vya kilometer mbili mnafanisha na Nairobi.

Safisheni kwanza hicho kijiji cha wavuvi punguzeni mafoleni ya kikupambavu siyo mnajisifu nayo ..mnapoteza muda tu

Hii serikali ya ccm haiwezi kufanya dar ikawaya kimataifa ..mtaendela kujazana ujinga tu hapa.

Kwanini ndugu usiende jukwaa la siasa huko kuelezea hisia zako,na kutoa matusi huko,huku Ni jukwaa la watu wasio kua na mihemiko ya namna hii, hapakufai hapa aisee.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Huku anatafuta basha,jukwaa la siasa lipo lakini yeye kang'ang'ania huku kutuletea mipasho yake
 
Back
Top Bottom