Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TBT: Nyerere and Kaunda inspecting TAZARA
EkSqHcyXYAIgS3S





MY TAKE
Regional projects in Tanzania did not start today...
Pia tusisahau TAZAMA
 

Haters kama wewe lazima wakue., which Kariobangi watu wanalala njaa?😂😂😂 Uhunye lazima ashambuliwe na kupongezwa in equal measure., sio kama mukulu wenu hamuwezi mukosoa ama kumkejeli openly. Balaa😂😂😂
 
Nature also has exposed Tz from overrated propagandas. Poleni lakini, kueni wapole zazingine.
Jamaa wanaficha habari, kazi ni magazeti kusifu magufuli na miradi ambayo haikamiliki.

Lakini kwa ground ni magaidi, mafuriko, mauaji na utekaji nyara
 
na hakuna wakuwakopa kwa sasa manake hakuna profit return nchi imewanyea sasa😂😂😂😂😂 ndio maana mumeanza kuingia kwenye PPP projects hakuna mtu wakuwapa pesa kwa sasa

mchina mwenyewe kwachinjia baharini na kaitelekeza SGR ndani ya forest huko
🙂 Mchina now is after konza anina
 
Wivu itakunyonga babu! Tanzania hamna huo uwezo ama nyie wachoyo kishenzi next door neighbour u cant assist ata kusema pole ni balaa! No wonder u have no meaningful progress with trickle down effect at all, only propaganda to hoodwink the public yet multidimentional poverty prevails!

Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ambayo wananchi wake wapo na Chakula cha kutosha, maji, umeme na malazi bora?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wanaficha habari, kazi ni magazeti kusifu magufuli na miradi ambayo haikamiliki.

Lakini kwa ground ni magaidi, mafuriko, mauaji na utekaji nyara
Hahahaha, habari zipi zimefichwa wakati vyombo vya habari vimetangaza, unataka rais ndio atangaze?, mafuriko yote yametangazwa, nini tena unachotaka kama sio wivu na hasira kwasababu hamna uwezo wa kugusa miradi inayofanyika Tanzania?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
DAR NI TAKATAKA TU KAMA TAKATAKA ZINGINE ..DAR KUMI NDO INAWEZA KUWA NAIROBI MOJA..

UKWELI NI KWAMBA SISI HATUNA JIJI LA KUFANANISHA NA NAIROBI.

HATUNA.

NAIROBI NI NEXT LEVEL.
pale nyege zinafika kileleni na akuna wa kukusikiliza ....kamwambie nyanyayako uko ushago
 
Haters kama wewe lazima wakue., which Kariobangi watu wanalala njaa? Uhunye lazima ashambuliwe na kupongezwa in equal measure., sio kama mukulu wenu hamuwezi mukosoa ama kumkejeli openly. Balaa
Mbana una catch ma feeling ww ....mtu wa slums acha uambiwe ukweli sio kulilia tu apa...dunia hii mnakufa njaa fukara nyie...
 
Sasa ina maana kwa fikra zako finyu Dar is ahead of South African cities because they have such poor zones? Wewe ni fukara wa kimawazo Dar is better than Manila, Sao Paulo na Jozi combined yet low life poor auality residential ni 80%+.,
South African slums to you makes Dar to level?

Slums in SA..
View attachment 1602912View attachment 1602913
View attachment 1602914nacheka mawazo yako yalivyo!
Of course.. you can't say a person with a rotten limb and very healthy looking torso is More healthier than yule yuko na upele wa surua... Would you!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu hudai SGR Tanzania itakuwa haina biashara!
Kwa 160km/h biashara itakwepo sana tu, ukiachilia mbali lisaa na nusu kufika moro au masaa matatu dom hata ikiwa masaa mawili moro na manne dom bado biashara itakuwepo. Wanachotakiwa ni kuwa on schedule tu na bei isiwe kubwa hizo ndio success factors, wakisema saa kumi na mbili asubuhi inatoka iwe hivyo.
Pia tena kuna maswala ya kuwahi shughuli za misiba na harusi, ambapo siku moja inatosha kuhudhuria na kurudi na bado kesho yake ukendelea na shughuli zako.
Pia kama umesafiri kwenda mwanza, bukoba na kigoma utaelewa, pia kuna mikutano, interviews kwa wale wanaokwepa gharama za accommodation.
Ukiwa moro au dom unaweza kuhudhuria interview ya saa mbili au tatu asubuhi kama kutakuwa na treni ya saa kumi usiku na saa nne ukitoka kumina mbili asubuhi achilia mbali maswala ya kiserikali
 

..kumbe walikua wana rank kwa ku angalia total kms of road network in comparison to the size of the country! Sioni wenzetu anywhere near! Kulikoni? Wanaonewa na mabeberu sio?​

networks​

33eab3a17790c6aa855a8491b6f029ed

By People Daily
Tuesday, November 5th, 2019
ROADS-800x450.jpg
Modern urban highway.

In summary


A good road network aids businesses and travel, which in turn spur economic growth. However, African countries still fare badly in construction and rehabilitation of their roads despite dedicating a chunk of budgetary allocations to road development. Here are African countries with the best road networks according to the African Exponent Report 2019:

1. South Africa

South Africa (SA) has a road network of 750,000kms, the 10th longest network in the world and 18th longest paved network globally. The SA National Roads Agency Ltd (Sanral) is currently managing about 21,403 km’s, of which 84 percent are non-tolled and only 16 percent are tolled. There are more than six million more vehicles on South African roads today than they were in 1994. The traffic will continue growing - much of it on roads that are already operating at close to capacity during busy periods.

2. Kenya


Kenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified. It is estimated that about 70 per cent (44,100 km) of the classified road network is in good condition and is maintainable while the remaining 30 per cent (18,900 km) requires rehabilitation or reconstruction. The World Bank has supported the extensive roads rehabilitation project, investing $1 billion (Sh1.3 trillion) in International Development Association (IDA) financing over 13 years. Today, 162,000 kilometres of Kenya’s roads are documented, and the country is currently working on recording and updating the condition of the existing network.

3. Cote d’Ivoire

Côte d’Ivoire invested remarkably in its transport system. Côte d’Ivoire road network spreads over 85,000km. It provides national and international traffic with neighbouring countries. Côte d’Ivoire’s spending on infrastructure was around $0.75 billion (Sh77.3 billion) in the mid-2000s, or less than five percent of gross domestic product, about half of what many neighbouring West African countries have been devoting to infrastructure.

Namibia

Namibia’s road network is regarded as one of the best on the continent with construction and maintenance adhering to international standards. The country boasts more than 44,500 kilometres of road. Due to low traffic volumes the majority of roads are not tarred. The government of Namibia has spent an estimated Sh5.4 billion on new roads plus an addition Sh34 billion on expansions over the years.

5. Botswana

In 2008, Botswana’s road network covered 28,152kms. Approximately 8,000 km of roads (including highways) are administered by the National Roads Department, while the districts manage the rest of the local network. Botswana Transport and Infrastructure Statistics Report 2015 showed that bitumen and gravel comprised the majority of the roads at 33 and 35 per cent respectively.

6. Senegal

About 90 per cent of movement of people and goods in Senegal is made via roads. The roads network is estimated at about 14,500km, of which 4,500km is paved. The only operational motorway in Senegal, which is also a toll road, currently runs for 34kms between Dakar and Diamniadio. A new part of the motorway, at 16.5 km running to the Blaise Diagne International Airport, is currently under construction.

7. Rwanda

Rwanda has a total of 12,000 km of roads, of which 1,000km are paved. The transport system in Rwanda centres primarily around the road network. A large amount of investment in the transport infrastructure has been made by the government since the 1994 genocide, with aid from the EU, China, Japan and others. The remainder are dirt roads with quality varying from smooth hard surfaces with drainage to rutted, extremely uneven tracks passable only with a four-wheel drive vehicle.

8. Mauritius

There are 2,066kms of roads in Mauritius, of which 48.5 per cent are main roads, 28.7 per cent are secondary roads and 3.6 per cent are motorways. Several road projects to the tune of Sh5.8 billion are being envisaged in a bid to provide a proper road network in the South, reduce travel time, enhance road safety for road users and provide a direct link from the South to strategic places such as Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport and Port Louis via M1.

9. Morocco

Morocco has one of the best road systems on the continent. Over the past 20 years, the government has built approximately 1770kms of modern roads, connecting most major cities via toll expressways. The Moroccan Ministry of Transport aims to build an additional roads to a tune of $9.6 billion (Sh990.2 billion). To meet the growing domestic demand, the Moroccan government invested more than $15 billion (Sh1.5 trillion) from 2010 to 2015 in upgrading its basic infrastructure.

10. Cape Verde

The total length of the national road network in Cape Verde is 1,113 km while municipal roads take up 537 km. Of the national roads, 36 percent is made of asphalt. The majority of Cape Verdean roads are paved with cobblestones cut from local basalt. International donors have upgraded Cape Verde’s roads to asphalt including highways between Praia and Tarrafal, Praia and Cidade Velha, Praia, Pedra Badejo, and Calheta de São Miguel on Santiago, and the dual carriageway between Santa Maria and Espargos on Sal.
🙂 Kumbe ndio maana umeficha link
African countries with longest road networks - People Daily
 
Hatuongelei kudungua tunaongelea quality ya vitu vyetu Tz hata ninyi Wakenya mnaona kwmb kwenye quality tumewaacha mbali imagine Teargass kapost mauchafu yake ila me nmeweka moja tu wala cjaingia TPDF kwenye madude yao jamaa chalii
Hahaha!!wanaume ni uwezo wala sio huo udubwasha wa auality...
Quality ni mambo ya kike hayo
 
Back
Top Bottom