Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe unanionyesha ndege zilikuwa grounded in 1978? Hamna F-5 jets that are functioning.
Leo ntakuuwa leo umeingia 18 zng af hii mida ya wahuni hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-17-00-13-46.jpeg
 
Naona ukiita usaidizi wewe mwizi. For your information, those F-5 jets you posted ndio hizi hapa. Uliiba za Kenya [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kenyan Jets Spearhead Somalia Operation
We bwege nn mm niube F-5 jets madege ya kizamani hayo wkt tuna brand new, hyo picha ni ya Tz nyie mmeiba km kawaida yenu sema nimeifuta ngj nikutafutie [emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-10-17-00-13-46.jpeg
 
Tanzania hakuna F-5 jets. Kama unapinga leta picha na usiibe za Kenys tafadhali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
List of Military Aircraft Operated by Tanzania - CombatAircraft.com
Nimekwambia hayo ni mandege ya kitambo cc tulitumia kumchapa Iddi Amini tukaona hayana issue hata simu ya mkononi tu unaya detect pasipokuwa na radar na tunayo yapo store, cc tuna vitu vipya ambavyo nyinyi hamjawahi kutumia, ushahidi huu hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-17-00-13-46.jpeg
 
Nimekwambia hayo ni mandege ya kitambo cc tulitumia kumchapa Iddi Amini tukaona hayana issue hata simu ya mkononi tu unaya detect pasipokuwa na radar na tunayo yapo store, cc tuna vitu vipya ambavyo nyinyi hamjawahi kutumia, ushahidi huu hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1602689
Tena umechange goal post? 🤣 🤣 🤣 🤣 Kama mliziacha enzi za Iddi kwani zile zenye ulipost ni za nchi gani?🤣🤣🤣
 
Tena umechange goal post? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kama mliziacha enzi za Iddi kwani zile zenye ulipost ni za nchi gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua hii kitu imekustua sn ss unatafuta pa kutokea ss hapa utoki, f-5 Tz inazo na ishatumia ss na ww nuoneshe H225 au H215
tapatalk_1602880108752.jpeg
 
Unajaribu kutoroka unaenda wapi? Hatujamaliza mambo yako ya kuiba mapicha. Ebu nikulizee, hii pia uliiba ukidhaniukidhani sitagundua ni ya Tunisia? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1602695
Yani upo humu unaongelea f-5 duuhh aiseee noma, watu wapo f-16 Falcon we bado upo stone age kumbe ndo mana madege yenu yanaanguka hovyo, angalia brand new H225 ambayo ulisema ya Pompeo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
tapatalk_1602880112843.jpeg
 
Yani upo humu unaongelea f-5 duuhh aiseee noma, watu wapo f-16 Falcon we bado upo stone age kumbe ndo mana madege yenu yanaanguka hovyo, angalia brand new H225 ambayo ulisema ya Pompeo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1602697
Naona ushakubali kuwa hamna F-5 jets na zile ambazo uliweka humu ndani ni za kuiba 😂 😂 😂 Kwanza unaongelea F-16 kitu hata wewe unajua vizuri hamuezikuwa nazo. Mbona usiridhike na zile jets zenu sura mbovu? 🤣 🤣 🤣
 
Hahahaaa raha sn katii mwenyewe maamaeee, so mjadala mwingine huu tushaufunga kuhusu ndege za jeshi ni kwamba cc tuna modern millitary planes.

Naomba panapo uhai kesho tuanze Afya, ucku mwema [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaaa raha sn katii mwenyewe maamaeee, so mjadala mwingine huu tushaufunga kuhusu ndege za jeshi ni kwamba cc tuna modern millitary planes.

Naomba panapo uhai kesho tuanze Afya, ucku mwema [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mwizi anakimbia. Kesho ukirudi nitakuanzisha tu hapa penye tumeachia.
 
Back
Top Bottom