Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani umeme unawekwa kwa kila mtu au nyumba?wastani nyumba moja ina watu wangapi? na zile za biashara? na wale mtu mmoja ana nyumba nyingi? kwa hiyo tuwaachie wenye tafiti zao watupe majibu.
84% of 57 million is equal to 2.7million (add family members na wengine)

HAPA SIPINGI YOUR MINISTER AMEWEKA WAZI
 
Kenya yoote ni NAIROBI tu alipopaacha Mkoloni.
Nje ya hapo ni vituko tu.kwenye issue ya umeme source zimekuwa nyingi sana lakini kwenye bara bara tumepoteana,wakenya hawana source za kudhibitisha Km 21000 zilizopo.
 
Hivi bado mna debate na washinda giza kuhusu access to the electricity?

Live night satellite map kwa hewa 🤣🤣🤣🤣
images - 2020-10-16T043821.318.jpeg


Soma map hiyo, yaani maeneo yasiowaka Tanzania ni game reserves tu, Kenya ni asilimia 90% Hakuna umeme, umeme upo Nairobi tu 🤣🤣🤣🤣
images (1).png
 
International City ndio nini? Una Elimu gani kwanza tujue huenda tunajibu mtu asiye na masomo kabisa,
Na hizo herufi kubwa are disgusting.
Hawa ndio wanaikosesha heshima elimu yetu eti ana degree huyo hata kuandika hajui, kupangilia hoja hajui amebaki kukariri neno taka taka, ndiyo hao wazee wa kata hao tumsamehe tuu wakuu
 
Ni Tanzania tu Africa Scania wanaweza kuwa na kikao kama hiki kwa wamiliki wa mabasi Tanzania sababu wanajua katika Africa ni Tanzania yenye world's standard bus transportation

Tanzania inafikika mikoa yote kwa 100% kutokana na mtandao mpaka wa kilometers 15k za lami, huwezi kuona hivi kwenye shithole yenye 11k kilometres ambazo kati yake 89% zipo taabani 🤣🤣🤣🤣🤣

Scania introduces new product to the bosses, after this new 100 busses will be purchased immediately 😁😁😁
EkX6D2UWAAUpAU3.jpg
 
2.7 connections not people

Ukitaka roughly kupata how many people you have to multiply by the size of households in TZ which is 6people per Household..

That's makes an estimated total of 2.7mx6 Tanzanians connected to electricity. Ni kweli huelewi au you are distorting the facts by way of misinterpretation!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
huyo unaebishana nae bure tu😂😂 usifkiri haelewi
 
Ni Tanzania tu Africa Scania wanaweza kuwa na kikao kama hiki kwa wamiliki wa mabasi Tanzania sababu wanajua katika Africa ni Tanzania yenye world's standard bus transportation

Tanzania inafikika mikoa yote kwa 100% kutokana na mtandao mpaka wa kilometers 15k za lami, huwezi kuona hivi kwenye shithole yenye 11k kilometres ambazo kati yake 89% zipo taabani 🤣🤣🤣🤣🤣

Scania introduces new product to the bosses, after this new 100 busses will be purchased immediately 😁😁😁View attachment 1601673
na unaambiwa zinahitajika 1trillion ksh kufanya repair kwenye zile paved road ambazo ziko taaban kabisa na mpunga hakuna 😂😂😂 na wakuwakopa kwa sasa hayupo
 
Yes haitabadilika na pia hii quote from the same report iko sahihi, mimi sipingi kabisaa kaka, your minister said;
"...The number of customers connected to the main source of power also reached over 2.766 million, up from 1.473 million, or an increase of 1.293 new connections..."

Kwani ulisoma tu headline kisha ukakimbia jf na kukurupuka?😂😂😂😂😂
Kwani hujui huyo kizungu ni kizungumkuti kwake?
 
what about access to electricity ??😂😂😂

tanzania 84%
kenya 74%
au nimekosea wajameni😝😝😝
Wewe kweli mbumbumbu. You can have access to electricity but you are not connected. Here we are more concerned about the total number of people CONNECTED to electricity, sio watu wanaoona nguzo za stima zikipita kilometer kumi kutoka waliko ila hawatumii umeme majumbani mwao. Tanzania mko na watu 2mln wanaotumia umeme ila Kenya kuna watu 6mln. Huoni kwamba argument yako ni ya kijinga?
 
Back
Top Bottom