tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ndege zetu mbona kimya sana
Ndege zetu mbona kimya sana
bro unapoteza muda wako bure tu😂😂😂Hahahaha wameanza kujenga baada ya 2018 toka hiyo kura iwepo? Na kerra nao wameanza kujenga lini kilometers 2500?
Kwahiyo kenha ina 18k kilometers ambazo zote ni lami? 😂😂😂😂😂
Mwaka huu wametoa taarifa?WB/IMF?Uchumi.
Hahahaha nimekuambia nimekubali mna kilometres 18k za lami highways kutoka kenha
Haya naomba data za kilometres hizi ambazo sio highways, mbona simple tu mzee 😂😂😂
Hiki nini 😂😂😂😂😂 umesema kura haikuwahi kuwa na kilometers zaidi ya 500 za lami, hiki nini? 🤣😅😅😅I dare you to show me any road under KENHA that is not paved.
huku debt to GDp ratio ikiwaramba makalio😂😂👇👇👇Uchumi.
Watatoa next year April.Mwaka huu wametoa taarifa?WB/IMF?
Mbona umesurrender haraka mzee?
Hahahaha mmesema kura haijawahi kuwa na kilometers zaidi ya 500 za lami? Hiki nini? 😂😂😂😂I dare you to show me any road under KENHA that is not paved.
Kama ungesoma hio article niliyokuwekea ungejua kuwa nyingi zinatumia diesel.kwanza ur thermal power generators zinatumia diesel au heavy fuel oil? I doubt kama zinatumia diesesl as such, but u never know in Kenya everything is possible!
Weekend njema Jomba!
Naona umerudi kwa data za 2009 🤣 🤣 🤣 🤣Hiki nini 😂😂😂😂😂 umesema kura haikuwahi kuwa na kilometers zaidi ya 500 za lami, hiki nini? 🤣😅😅😅
View attachment 1602026
Hamtakaa muwe na 11k mpaka dunia inaingia kaburiniMbona umesurrender haraka mzee?
Kama ungesoma hio article niliyokuwekea ungejua kuwa nyingi zinatumia diesel.
Another 2009 data. Wewe kwani unaargue ukirudi nyuma?Hahahaha mmesema kura haijawahi kuwa na kilometers zaidi ya 500 za lami? Hiki nini? 😂😂😂😂View attachment 1602032
Anhaa SawaWatatoa next year April.
Hio 11k ni WB ilireport. Hio 18.5k vile vile ni WB imereport. Vipi utakubali 11k ya WB kisha ukose kukubali 18.5k ya WB? Wacha mchezo.🤣🤣🤣🤣 Wakenya msaidieni huyu mgonjwa wenu jamani anaetaka kubadilisha 11k kuwa 21k za kwenye makaratasi 😂😂😂😂
Hahahaha kwa hiyo kilometres za lami kumbe zinaenda zikupungua?Naona umerudi kwa data za 2009 🤣 🤣 🤣 🤣
Eqypt debt to GDP ratio, 80%huku debt to GDp ratio ikiwaramba makalio😂😂👇👇👇
nchi imeozaView attachment 1602029View attachment 1602030
😂😂😂😂😂Hamtakaa muwe na 11k mpaka dunia inaingia kaburini
so leo unafananisha japan na kenyaEqypt debt to GDP ratio, 80%
Japan debt to GDP ratio 200%
USA debt to GDP ratio 120%