Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe ni wapi nilisena kuwa geothermal energy sio thermal energy.
Kuna mkenya kawahi kusema hvyo hata mm nilishangaa ila nikakausha tu nashukuru Geza Ulole kuweka sawa hilo.

Uyo mkenya aliyesema kuwa geothermal energy is not thermal km co ww, basi ni Teargass au nicxie nadhani mwenyewe anajijua.
 
Scrap. Hizi ni ndege za polisi huku Kenya. Uhuru hawezitumia uchafu kama hii.
Weeiiiishhhh Eurocopter H225 brand new, yn hapo unapata ma used KDF helicopters 50[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1589482944825.jpeg

Nimeona niongeze kdg idadi mana kiukweli kabisa 10 ndg kwa thamani ya hilo dude.[emoji3][emoji3]
 
Weeiiiishhhh Eurocopter H225 brand new, yn hapo unapata ma used KDF helicopters 10[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602412
[emoji121][emoji121][emoji121] kukosa hayo maandishi kuna mtu angesema rudisha ndege ya Pompeo [emoji3][emoji3]
 
MD530 inaidungua kw sekunde hyo
Hatuongelei kudungua tunaongelea quality ya vitu vyetu Tz hata ninyi Wakenya mnaona kwmb kwenye quality tumewaacha mbali imagine Teargass kapost mauchafu yake ila me nmeweka moja tu wala cjaingia TPDF kwenye madude yao jamaa chalii [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Weeiiiishhhh Eurocopter H225 brand new, yn hapo unapata ma used KDF helicopters 50[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602412

Nimeona niongeze kdg idadi mana kiukweli kabisa 10 ndg kwa thamani ya hilo dude.[emoji3][emoji3]
Kwani hii helicopter moja ndio mnakuanga nayo Tanzania nzima? Nowonder Diamond and Magufuli wanakuja kukodi ndege za Kenya.
 
Kwani hii helicopter moja ndio mnakuanga nayo Tanzania nzima? Nowonder Diamond and Magufuli wanakuja kukodi ndege za Kenya.
Najua uneumia nmekupa brand new mbili, moja ina nylon zake moja ipo hewani km kitu cha Pompeo haina masikitiko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hatuongelei kudungua tunaongelea quality ya vitu vyetu Tz hata ninyi Wakenya mnaona kwmb kwenye quality tumewaacha mbali imagine Teargass kapost mauchafu yake ila me nmeweka moja tu wala cjaingia TPDF kwenye madude yao jamaa chalii [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa wapi kitu quality hapo? Kwanza ni ndege ni moja tu.
 
Najua uneumia nmekupa brand new mbili, moja ina nylon zake moja ipo hewani km kitu cha Pompeo haina masikitiko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asante kwa kubali mko na mbili sasa 🤣 🤣 🤣 . Hapa unaona ngapi?
2241940_339136_b52115631e0c7d1766e9c29655c05b89.jpg
 
Hatuongelei kudungua tunaongelea quality ya vitu vyetu Tz hata ninyi Wakenya mnaona kwmb kwenye quality tumewaacha mbali imagine Teargass kapost mauchafu yake ila me nmeweka moja tu wala cjaingia TPDF kwenye madude yao jamaa chalii [emoji3][emoji3][emoji3]
Nimekuambia hiyo ndege yenye umepost polisi ndio wanatumia huku Kenya.
Police-air-craft.png
 
Helicopter za kunyunyuzia dawa kwenye mashamba ndo unauliza tunaona ngapi...??🤣🤣🤣
Naona leo mmekubali hizo ni ndege za Kenya 🤣 🤣 🤣 By the way mbona mlikuwa mnapinga hizo ndege sio za Kenya?
 
Naona leo mmekubali hizo ni ndege za Kenya 🤣 🤣 🤣 By the way mbona mlikuwa mnapinga hizo ndege sio za Kenya?
Umeniona humu ndani leo...?? Au unazani Mimi jobless Kama wewe unae shinda JF muda wa kazi...Alafu unapotea usiku..??🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom