Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio 11k ni WB ilireport. Hio 18.5k vile vile ni WB imereport. Vipi utakubali 11k ya WB kisha ukose kukubali 18.5k ya WB? Wacha mchezo.
Hakuna mahali WB imeripoti mna kilometres 18k za lami bali imemnukuu afisa wenu akisema kenha ina kilometres 18k ambapo Hakuna neno linasema kwamba ni za lami 😅😅😅
 
Hahahaha kwa hiyo kilometres za lami kumbe zinaenda zikupungua?

Wewe si umesema kenha ina kilometres 18k na kura haijawahi kuwa na kilometers zaidi ya 500? 😂😂😂

Hizo ni kilometres za ushuzi?
Ungekuwa unajiamini ungekweka tarehe.
 
Eqypt debt to GDP ratio, 80%
Japan debt to GDP ratio 200%
USA debt to GDP ratio 120%
unafananisha developed countries and devwloping country hvi ww unaakili sawa kweli ???😂😂😂😂
 
Hakuna mahali WB imeripoti mna kilometres 18k za lami bali imemnukuu afisa wenu akisema kenha ina kilometres 18k ambapo Hakuna neno linasema kwamba ni za lami 😅😅😅
Kwani neno highway inaamaanisha "kuku" huko Tanzania? Hujaona neno highway kwenye hio paragraph? Rudi tena ukaisome.
 
Astaghafullilah...Na ile GDP yao ya makaratasi $101 bln hili deni ni % ya GDP?
deni linenda 85% + to GDP ratio wako hapa wanashangilia tena wanajifananisha na japan na USA😂😂😂 wakat hzo hzo nchi ndio wanawapa misaada kila leo
 
inaeza kua highway lakini ikawa sio paved pia au hilo hulijui???😀😀😀
Kwa hivyo lazima WB waandike paved highway ndio Ichoboy ajue kuwa kinachozungumziwa ni lami? Hehe. Mzee wewe ni expert kwa kusongeza goal post.
 
Upige nduru ama ucheke bado tutaendelea kukopa.
National Debt by Country: The Top IOU Nations of 2020.
😂😂😂😂👇👇👇 nchi imenyea hapa
CB2D238B-44CA-4495-80DD-9A2207B4BC6E.jpeg
 
Tutakopa hadi tufike 300%.
na hakuna wakuwakopa kwa sasa manake hakuna profit return nchi imewanyea sasa😂😂😂😂😂 ndio maana mumeanza kuingia kwenye PPP projects hakuna mtu wakuwapa pesa kwa sasa

mchina mwenyewe kwachinjia baharini na kaitelekeza SGR ndani ya forest huko
 
Kwani neno highway inaamaanisha "kuku" huko Tanzania? Hujaona neno highway kwenye hio paragraph? Rudi tena ukaisome.
Hivi wewe una akili timamu kweli? Nioneshe mahali kwenye hiyo attachment kumeandikwa paved highway 18k kilometers 😅😅😅
 
Kwa hivyo lazima WB waandike paved highway ndio Ichoboy ajue kuwa kinachozungumziwa ni lami? Hehe. Mzee wewe ni expert kwa kusongeza goal post.
kwani hujui maana ya paved au ni sawa mm niandike tony ni mtu je mwengine anaeza jua ww ni dume au jike??? acha utoto wewe tony
 
Back
Top Bottom