Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa watu wamegeuzwa mapopoma na Jubilee sasa wamekua concord wanafikiri wanaweza kumgeuza mtanzania awe ndondocha kama wao 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Hahahaha ama kweli leo nimeamini 😁😁😁

Wanapika utopolo wao wanafikiri kila mtu ni kichwa maji
Awajui JF is the home of great thinkers..🤣🤣🤣
 
so from 2017 to 2019 mumejenga another 11000km 😂😂😂😂😂
wakat toka munapata uhuru 1960s mapaka 2017 mumejenga 11000km over 50 yrs leo miaka mitatu mushajenga 11000km 😂😂😂 mwenyewe unajiona bright
Kama wao kwa wao wanadanganyana itakuwaje kwa mbongo...??🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20201014-235526_Twitter.jpg
    Screenshot_20201014-235526_Twitter.jpg
    144.1 KB · Views: 8
Do you real know the difference between classfied and unclassfied...?? Au na wewe ni teja apo Mombasa..??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]kingereza sio lugha yetu jamani, tuacheni kukurupuka..

Kw akili zako hapo umeelewa nn[emoji848][emoji848]
20201015_002644.jpg
 
Tupate wadhamini kidogoView attachment 1600512

Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
Itapigwa make up hyo zen uongopewe, just imagine road km hii haina muda lkn imekuwa ni uchafu wa kufa mtu kiasi cha kwamba Wakenya wenyewe wanaleta kipindi ikiwa mpya yn hawataki kuileta ikiwa ktk hali hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Wakenya wachafu sana aloo[emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-14-08-58-13.jpeg
 
Ila leo Wakenya wamekula vitasa co mchezo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nawaambia ndg zng WaTz tutegemee mgomo mkubwa wa Wakenya kuanzia kesho, hamtowaona humu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom