Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuru
1602718489341.png
 
Kesho tuhamie kwenye mapendezo ya magari yetu binafsi na abiria.
Magari mengi ya abiria ya wenzetu ni mabaya kwa rangi na internal dersign,tupite humo ili wajue vile JPM anavyosema bongo kana ulaya.mi nikipanda shabiby naona kama ninepanda ndege.
 
Mbaya zaidi hiyo tweet inaongelea road network ya 2009. 🤣 🤣 🤣
Hahahaha English hujui bro, Soma na kapekue kwenye dictionary nini maana ya '....... As of 2017' 😁😁😁😁😁

WB kawararua mapumbu 😁😁😁😊

2017 tulikuwa na 17,000km of paved roads, 2018 tulifika 18,000km and in 2019 tukawa na 21,000km. Huo ndio ukweli ucheke ulie 🤣 🤣 🤣 👇
View attachment 1600322
Hahahaha liangalie hili lipuuzi yaani kwa miaka miwili mmejenga kilometers 4000 za lami? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi unajua kilometers 100 za lami zinachukua miaka mitatu mpaka minne kukamilika?

Sasa Lete tenders zote za hii miaka miwili miliojenga kilometers 4000 hapa 🤣🤣🤣🤣

Usifikiri unaongea na misukule ya Jubilee hapa

Ili kukamilisha kilometers 4k za lami kwa miaka miwili inakuhitaji angalau kuwa na makampuni sio chini ya 40 ya ujenzi ambayo yamegawana vipande vidogo vidogo ili kazi iishe haraka 🤣🤣🤣🤣

Lete hiyo mikataba 40 ya ujenzi mliosaini 2017 hapa 🤣🤣🤣
 
mm usisahau kunitag tu ndio muhimu😂😂
 
Back
Top Bottom