Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya sasa rudi ulikotoka, hiyo figure ya WB ni ya 2009 ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
https://www.tralac.org/images/News/Reports/World Bank Africas Pulse April 2017.pdf
View attachment 1600251
so its right 2017 mlikua na 11000km so mumechukua 2yrs kujenga 10000km wakat hzo 11000km ni toka mumepatq uhuru 50 yrs ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kweli una shoti kwenye medula wewe
38B0475B-2B6B-42C5-AFB5-ECCC4ED0D722.jpeg
 
Kwaiyo umekubali kuwa Total Paved roads Kenya ni 11,000 kilometer...?? Au bado unaitaji Grand Total ya pamoja na unpaved roads..??๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Wewe jamaa Ni zero brain wakufikia. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
niliaema mm toka asbh mapema huyu ni kilaza munajihangaisha tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kutokea sasa atakayeniletea link kutoka sehemu yyte ile inayoonyesha 15000km of paved roads kutoka bongo nitampa zawadi nono sana
 
jibu swali kutoka 2017 mpaka 2019 mumejenga 10000km wakat hio 11000km imewachukua over 50yrs now
Wenzako walilia sana lkn wapi, naona na wewe umekuja kunengua...
Haya lete link yake niione vi emojis havitakusaidia hapa
 
Slum dwellers huko mna raha gani? wewe si ndio mababu zako waliporwa ardhi nairobi wakapewa katoni huko coast? ,.. afu mama ngina kauzia gavoo shamba yako huko ili gavoo iwapatie nyie slum dwellers wa kikuyu wa coast.. ndio uko rada hukop kufatilia sio?
Kumbe we mtunzi mzuri sana wa taarab, unaachilia kibao lini jomba unitumie link sitokubwaga nitakiskiza
 
Ngoma iko hapa, huchomoki kudadeq zako, na vichochoro vyenu vya 11k
Ukiona mtanzani amekomalia twitter ujue amekosa pakutokea..
Ni sawa na kichaa aliyeshikwa na njaa kali sana, sokoni akishika chungwa mtauwana hata km pembeni yapo mia
 
kwa upande wa milloonaires Mlikuja hivyo hivyo na cooked data mkapotoshana mpaka mkajamba kilichowatokea mkaishia kuumbuka tu.....

naona bado hamkomi mnaendelea tu kujifurahisha ,
nyie wakenya ni wapuuzi sana,,,,sisi tunawachora tu apa
Tuletee link ya kutoka 2015 mpka 2019 tuone millionaires wa tz idadi yao ilikuaje
 
Kwaiyo umekubali kuwa Total Paved roads Kenya ni 11,000 kilometer...?? Au bado unaitaji Grand Total ya pamoja na unpaved roads..??๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Wewe jamaa Ni zero brain wakufikia. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Yeah, nakubali kuwa in 2009 paved roads were 11,000km na ya 2019 ni 21,000km
 
Back
Top Bottom