Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,053
- 33,289
πππππ 2017 muna 11000km alaf ghfla 2019 21000km with economy of 4.6%π π π π aisee kazi ipo
Endelea kutuonyesha data za 2009. Vitu kwa ground viko hiviπππ
πππππ 2017 muna 11000km alaf ghfla 2019 21000km with economy of 4.6%π π π π aisee kazi ipo
Angalia hata Wakenya wenzako wanajushangaa hyo link uliyoweka kabla hata cjaifungua inapingana na ulichoandika [emoji3][emoji3][emoji3]Unaongelea kitu tulifanya 2013[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii hapa ni Kenyas paved roads in 2018 which was18,655km.
1,621km of roads paved in 2018
Tafuta msemo wako wa kutokea huo tayari ni wa ichoboySo mlitumia 50yrs kujenga 11k mkiwa na serikali imara zen mkatumia only 10yrs kujenga 11k zingine mkiwa na serikali ombaomba, duuhh hii ya leo kali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ichoboy piga pochi manyoya ya huyu binti anakuzimikia mno.Tafuta msemo wako wa kutokea huo tayari ni wa ichoboy
Mbna unaficha mwaka[emoji23][emoji23]hawa pia waongo inamaana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1600323
Mnaficha tarehe[emoji23][emoji23][emoji23]11,197 leo mtamuua kwa maumivu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hyo link iko wapi[emoji23][emoji23]2017 muna 11000km 2019 muna 21000km sijui hata USA ina ubavu huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot tuone venye inapingana.Angalia hata Wakenya wenzako wanajushangaa hyo link uliyoweka kabla hata cjaifungua inapingana na ulichoandika [emoji3][emoji3][emoji3]
Haieziweka tarehe juu anajua hiyo ni ya 2009 π π πMbna unaficha mwaka[emoji23][emoji23]
Si ni kwel[emoji23][emoji23][emoji23]Ichoboy piga pochi manyoya ya huyu binti anakuzimikia mno.
Ichoboy kashindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
usipanic wakat ukiongea na ichoboy ππIchoboy kashindwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Link iko wapi inayoonyesha 2017 tulikua na 11,000kn[emoji23][emoji23]usipanic wakat ukiongea na ichoboy [emoji23][emoji23]
sina muda wakukushughulikia ikiwa huoni hata link hapo imekua attachedπππLink iko wapi inayoonyesha 2017 tulikua na 11,000kn[emoji23][emoji23]
Ama nikuachie unengue km huna
[emoji116][emoji116]Screenshot tuone venye inapingana.
sina muda wakukushughulikia ikiwa huoni hata link hapo imekua attachedπππ