Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Utopolo ule ule wa ministry of infrastructure, sasa kuna tofauti Kati ya Kenya Roads Board na ministry of roads Kenya?

Tofauti ya ngedere na tumbili 🤣🤣🤣

Mzee ngoma bado kaisimamia WB 🤣🤣🤣🤣

Ajui maana ya Grand Total...🤣🤣🤣🤣
 
Hahahaha halafu ananiletea kipeperushi chao cha ministry of roads kwamba ni WB ndio imetoa hiyo statistics 🤣🤣🤣🤣

Kweli WB imewashika patamu
Huyo Ni Zero Brain👇👇👇
Screenshot_20201014-195613.png
 
Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania

Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which? 😁😁😁😁

Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine 😁😁😁😁


View attachment 1600154View attachment 1600157

kwneye maneno 100 ya mkenya chukua moja uondoke 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom