Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Hahahaha in short hali halisi ni hii
Hahahaha in short hali halisi ni hii
😀 Kwa majirani hizo ni flyovershata kule mbezi luis njia ya kuelekea kinyerezi ni underpass
Pole sana ndugu, hakuna kitu kwa hiyo link yako 🤣 🤣 🤣Mimi siyo mbabaishaji kama we we
Huwa naenda kwa facts
Visit here from krb
Road Networks – Kenya Roads Board
Hakuna kitu hapo.Mimi siyo mbabaishaji kama we we
Huwa naenda kwa facts
Visit here from krb
Road Networks – Kenya Roads Board
Asante kwa kugundua kuwa screenshot ya huyo mwenzako ni fake.Wapika data utawajua tu, 🤣🤣🤣🤣 hawawezi kusema exactly ni kilometers ngapi, eti wanasema kwa percentage, tena wanatoa data za kipumbavu sana eti good, fair, poor
Huu utaratibu wa kuhesabu kilometres za lami kwa percentage upo Kenya tu 🤣🤣🤣🤣🤣
🙂 Makenya yanacram sanaKwahyo mnataka tuzibe juu ili zifanane km yenu ndo muite underpass? Kenya ni washamba snView attachment 1599756
Hawa wakenya kweli waongo sana.Wakenya niwaongo sana huwa wanalazimisha uongo kuwa ukweli
siyo waongo tu ila pia kuna vitu vingi kuhusu nchi yao hawavijui zaidi ya kukaririshana mambo kwa kupeana taarifa zisizo sahihi....Hawa wakenya kweli waongo sana.
View attachment 1599963
Nimeku inbox...Nimeona hangaika Sana....Nimeamua nikupe msaada...Matusi ni ya nini wewe Mcongo? Wewe endelea kutumia watoto wadogo kuchimba dhahabu.
Mchina ameshawaona nyinyi mapimbi...Unapo ona pillar ya flyover imekuwa ndefu Sana jua Kuna intersection inataka kuivuka...Ndo maana nikasema haitokuwa na more than 3 kms..🤣🤣🤣Mbona pia kw urefu wa pila hujasema, manake kw render hamjasema..
Sihitaji msaada. Asante kwa offer.Nimeku inbox...Nimeona hangaika Sana....Nimeamua nikupe msaada...
Endelea kusema tuMchina ameshawaona nyinyi mapimbi...Unapo ona pillar ya flyover imekuwa ndefu Sana jua Kuna intersection inataka kuivuka...Ndo maana nikasema haitokuwa na more than 3 kms..![]()
Enhee!!tangia sgr ianze kuchapa kazi lini uliona miundombinu imeharibika?Umeuliza swali umejibiwa unataka nn?
County zetu ni 47 tutajie county kumi ambazo hazijaungwa na lamiUhuru na Jubilee inawalokota anafikiri na sisi atatulokota kama maembe, eti anasema kwenye international roads wana kilometers 40000 wakati Hakuna barabara ya lami ya kwenda Sudan, Somalia, counties zao 80% hazijaungwa kwa lami halafu kwenye utopolo wao inaonesha wana trunk roads 5k kilometres na 4k kilometers za national roads
Huu si utopolo jamani
Ukweli mchungu huu hapa View attachment 1599882
Weka link ya hii website..🤣🤣🤣2017 tulikuwa na 17,000km of paved roads. 👇 👇 View attachment 1599790