China is doing,Wengine wakingoja their first underpass, Kenya is doing her third underpass that will connect JKIA to the Expressway.
View attachment 1599146
Wewe jamaa unapenda post picha za zamani.
Mwenye picha ya daraja la nyerere kupande wa kurasini wakati unaondoka yale mapishano ni underpass.tuwaonyeshe.
hizi mvua na folen ni noma
Jana palikuwa hatari tupuhizi mvua na folen ni noma
Naona unaomba usaidizi kutoka kwa Arusha. Kwani Dar barabara zimeisha?Ukiacha hyo miduara hamna kitu hapo [emoji116][emoji116]View attachment 1599329
Hiyo njia ulipita ukitoka wapi na unaenda wapi, ebu tudanganyeno quality hapo camera imewatoa haibu....hiyo njia nimrpita zaidi ya mara tano reality ya hapo ni vituko tu......kumefifia
Hii pia mlishaweka hapa. 😂 😂mpe na hiiView attachment 1599331
Kwao ni sifa ila kwetu ni Karaha na ndiyo maana tunajenga ma flyover kila kona na roads mpya.alaf utaskia wajinga wanakwambia kenya kuna gari nyingi kuliko tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni road gn umeweka humu haijawahi wekwa? Mm nimeweka roads mpya ambazo zingine hazina hata mwezi ila ww umeweka roads ambazo zimeshawekwa tangu enzi ya AnnaelHii pia mlishaweka hapa. [emoji23] [emoji23]
Sikuwa najua aloo, huwa najiuliza mbn Tz ina mtandao mkubwa sn wa paved road ukanda huu cz Tz ni kubwa mara mbili ya kenya na barabara kubwa mikoa yote ni lami ss hawa wanawezaje kuthubutu kusema wanazd Tz kwa paved road kumbe wanahesabu mpk lane [emoji3][emoji3][emoji3]Ni tanzania unaweza enda dar mbeya zaidi ya Kilomita 800 za lami.dar arusha 600km.
dar dodoma 425 Km za lami.hizo 21000 Km ni za hapo hapo Nairobi tu? yaani njia nne zimezidishwa mara nne nne au?mbona hazifiki popote.
TZ mfano dar Moro ni njia mbili ya Km 199.sisi tinasema ni km 199 bila kujali ubungo mbezi pana njia nne kwenu mngesema 398Km +.
Kujipa moyo wakati unajua ni utoto uko na mwingi,,Kenya baba laoSikuwa najua aloo, huwa najiuliza mbn Tz ina mtandao mkubwa sn wa paved road ukanda huu cz Tz ni kubwa mara mbili ya kenya na barabara kubwa mikoa yote ni lami ss hawa wanawezaje kuthubutu kusema wanazd Tz kwa paved road kumbe wanahesabu mpk lane [emoji3][emoji3][emoji3]
Ww mbn umeweka roads za mombasa humu na hatuongei? Wacha maneno mbofu mbofu.
Juu umekazana sana, chukua hiyo.Ww nimekwambia uweke road mpya umekosa ngj mm niendelee, hii ya saba mpya naweka humu ww umekazana na roads za mkoloni [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1599328
Hahahaha underpass Kenya kumbe zinajengwa kwa mabox na plastic? What's relevance? 😁Thanks for posting picha ya 2018. This is how the road looks like in 2020.
View attachment 1599229View attachment 1599230View attachment 1599232View attachment 1599234
Kwani ww hujui kwamba Tz iko paved nchi nzima au unataka league tu.Kujipa moyo wakati unajua ni utoto uko na mwingi,,Kenya baba lao