komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hyo map ndiyo source yake ni ya 2014 but kilichoandikwa humo hakijaandikwa ni cha lini.
Kila kitu hapo ni cha 2014. Unapingana hadi na vitu zinaonekana.Hyo map ndiyo source yake ni ya 2014 but kilichoandikwa humo hakijaandikwa ni cha lini.
Unajuwa ww wkt mwngne uwe na akili, kwa mujibu wa hyo table yako inaonesha Grand total yn ya international trunk roads, national trunk roads, primary roads, secondary roads, minor roads, special purpose na unclassifiedd roads.Yani watu wanaonea Kenya wivu kukuwa na barabara mingi za lami hadi inawabidii kutafuta data za 2014 na 2016![]()
. Siku mtu ataleta data za 2019 zenye zinaonyesha kuwa tarmacked roads in Kenya ni below 21,000km in 2019 nitahama jf for good.
View attachment 1600091
Nyinyi hata muongeze na zenye hazijapigwa lami hamuezitufikia.Unajuwa ww wkt mwngne uwe na akili, kwa mujibu wa hyo table yako inaonesha Grand total yn ya international trunk roads, national trunk roads, primary roads, secondary roads, minor roads, special purpose na unclassifiedd roads.
Ila cc huwa tunahesabu international, national trunk roads, secondary and primary roads only but tukisema tupige grand total mtakimbiana humu mana Tz ni kubwa sana na eneo kubwa la road line liko paved.
Wakenya acheni uongoNyinyi hata muongeze na zenye hazijapigwa lami hamuezitufikia.
Dah aisee Tz ni noma sn kwenye sekta ya barabara ww tulia itoke new report utakimbia humu km ulivyokimbia kwenye EACOPNyinyi hata muongeze na zenye hazijapigwa lami hamuezitufikia.


Wewe hakiuna unachojua, msipohesabu unclassified paved roads the number reduces to 9,000km.Unajuwa ww wkt mwngne uwe na akili, kwa mujibu wa hyo table yako inaonesha Grand total yn ya international trunk roads, national trunk roads, primary roads, secondary roads, minor roads, special purpose na unclassifiedd roads.
Ila cc huwa tunahesabu international, national trunk roads, secondary and primary roads only but tukisema tupige grand total mtakimbiana humu mana Tz ni kubwa sana na eneo kubwa la road network liko paved.
Kenya 21,000kmWakenya acheni uongo
Dah aisee Tz ni noma sn kwenye sekta ya barabara ww tulia itoke new report utakimbia humu km ulivyokimbia kwenye EACOP![]()
Continue dreaming. Hata zitoke ripoti kumi mpya bado mtabaki kwa 12,000km.Dah aisee Tz ni noma sn kwenye sekta ya barabara ww tulia itoke new report utakimbia humu km ulivyokimbia kwenye EACOP![]()
JKIA, 8.3 million passengers in 2019.lateni na ripoti ya ujenzi wa viwanja vya ndege Kenya!
Great, that article shud tell you something, roads nyingi hapo hazipo hata local roads report yake mpya haipoWewe hakiuna unachojua, msipohesabu unclassified paved roads the number reduces to 9,000km.
View attachment 1600115


Ujenzi wa airport walishaacha kuzungumzialeteni na ripoti ya ujenzi wa viwanja vya ndege Kenya! Kuna madudu mengine huko runway ya Tshs 62bln inapaka crack in less than 2 years tangu ifunguliwe!


Ok, Tanzania ni 9,000km. Kenya 21,000km.Great, that article shud tell you something![]()
Hata we mwenyewe unayeongea hayo hujiaminiOk, Tanzania ni 9,000km. Kenya 21,000km.

