Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale wanaopewa pole ni ninyi.
Unaweza kutuonesha barabara hizo!?
Screenshot_20201014-114829.png
 
Hizo picha zako mpya mpya ongeza kwa hiyo thread. Ukipost ntakufuata huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Umeauwa mze me baba, eti hzo picha zake mpya akafanye nazo nn[emoji24][emoji24]
 
na ile ya Mombasa? Hivi una-undermine Engineering that is supposed to measure the soil properties ahead and come up with right solution sio? Mbona aliyejenga hii barabara hathubutu kufanya ujinga huu Tanzania!

na hapa je? the Kshs 3.1 bln runway for Isiolo international airport!



This chinese first class for duped Kenyans costed $3.8 bln!
sgr.jpg
Geza upo desperate sana, sgr sai iko functional miaka karibia mitatu..tuonyeshe place imeharibika...
Isiolo airpor pia vile vile nayo utuonyeshe
 
Underpass Mchina kaisha wapoteza tiyali chukua pillars za render yake na izo anazo jenga ni tofauti...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]From single pillar to double pillars...najua mtakuwa mmeelewa Mchina anakwepa Nini..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii project haitokuja kuendana na render...Kwa sababu ipo chini ya uwangalizi wa China...Vyovyote vile wanaweza kuibadili render wanavyotaka....Nitazidi kuwaabalisha mabadiliko...Nakwa taarifa alitokuwa na kilometer zaidi ya tatu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndipo mtajua kuwa wa Tanzania ni wachawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1599668
Mbona pia kw urefu wa pila hujasema, manake kw render hamjasema..
 
Underpass Mchina kaisha wapoteza tiyali chukua pillars za render yake na izo anazo jenga ni tofauti...🤣🤣🤣From single pillar to double pillars...najua mtakuwa mmeelewa Mchina anakwepa Nini..🤣🤣🤣Hii project haitokuja kuendana na render...Kwa sababu ipo chini ya uwangalizi wa China...Vyovyote vile wanaweza kuibadili render wanavyotaka....Nitazidi kuwaabalisha mabadiliko...Nakwa taarifa alitokuwa na kilometer zaidi ya tatu....🤣🤣🤣Ndipo mtajua kuwa wa Tanzania ni wachawi🤣🤣🤣View attachment 1599668
hapa itakuwa jamaa walitaka pillars kama za Dar SGR mchina akazipiga picha akigelesha!

Ila JPM ni kiboko imagine 25th November mkandarasi wa SGR Mwanza-Isaka anatangazwa! Wakati jirani aliyekuwa akishindana nasi kwenye ujenzi wa SGR kagomea Naivasha na tena kwa kukopa right and left.

Sasa yupo hoi, officially credit unworthy and on top of that, unexpected Corona debts is added to their redbook! Right now GDP to debt ratio is over 70% na tayari analilia clemency maana anashindwa kulipa madeni 49% ya budget alllocation inaenda ku-service madeni!

Tunaenda kuchukua cargo ya Uganda by 2025 Uganda cargo will be distributed 50:50 btn Tanzania and Kenya!

 
Hii barabara ya Ubungo wewe mwenyewe ushaipost mara ishirini, sijui barabara ndio hamna ama shida ni nini.
Si mlikuwa mnaiita ubongo so now mmeijua jina au co, wallahi vitasa vimewaadabisha Wakenya [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si mlikuwa mnaiita ubongo so now mmeijua jina au co, wallahi vitasa vimewaadabisha Wakenya [emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe ulikuwa unachungulia tu? Ulitoroka mbio after kugundua kuwa umeguza moto? 😂 😂 😂 🤣 Next time never try to compare trhat your village to Nairobi ikifika kwa mambo za barabara.
 
Kumbe ulikuwa unachungulia tu? Ulitoroka mbio after kugundua kuwa umeguza moto? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] Next time never try to compare trhat your village to Nairobi ikifika kwa mambo za barabara.
Wacha ujinga hii mada ilianza jana usiku tumepelekana ukakimbia now ni mda wa kazi usinichoshe ila ukitaka mziki ngj nimalize majukumu yng you know me [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom