Hi chat ya Teargass anaiyelewa...??🤣🤣🤣🤣🤣Neno "Grand Total" amelielewa vizuri....??🤣🤣🤣🤣2017 tulikuwa na 17,000km of paved roads. 👇 👇 View attachment 1599790
Hi chat ya Teargass anaiyelewa...??🤣🤣🤣🤣🤣Neno "Grand Total" amelielewa vizuri....??🤣🤣🤣🤣2017 tulikuwa na 17,000km of paved roads. 👇 👇 View attachment 1599790
Mimi nilikuwa nasubilia link yake tu...🤣🤣🤣ohhh sisi nye nye nye 😂😂😂👇👇👇
View attachment 1599814
Ah bora mpango ulibadilishwa.. ..wangelitoboa wakijua ni la maji ya kunywa.Huku ndipo walitaka bomba la mafuta la Uganda lipite!
Ichoboy, emu rudia tenaunclassified road is not paved road kama ndio kenyatta kawadanganya pole sana



Ushabadilika sasa hivi ni tunnel mnataka,ila am happy kwa kuwa the best kawaelimisha sasa mnaelewa underpass ni kitu ganiHizo ni underpass lakini sio underpass tunnel. Tatizo nini ndugu? Mbona huelewi? Nyie hamna tunnel ambayo magari yanapita kwa chini.
👇👇👇👇Ichoboy, emu rudia tena
Unclassified ni barabara gani tena vile
Wewe rudi shule ukajifunze kuangalia tarehe. Hii pdf yako ni ya 2014 😂 😂 😂 👇Wakenya niwaongo sana huwa wanalazimisha uongo kuwa ukweli
Ukishamaliza kujifurahisha urudi huko juu uangalie tareheHawa wakenya kweli waongo sana.
View attachment 1599963
Hehehe hii ni kitu ya 2016 bana, rudi ukatafute ya 2019 🤣 🤣 🤣 🤣Unajifanya huoni au!?
View attachment 1599951
Hawana bridges so kila kitu ambacho hawakielewi wanakiita bridge, wasameheni jamani. Hata bridge kama salender tu hawana.Eti mtu underpass anaiita bridge!!!😃😃😃aisee school muhimu sana,mtu hajui bridge ni nini??
Nimejiuliza kashindwa kuelewa hata maana ya " Grand Total" 🤣🤣🤣Ss yeye anachanganya paved na unpaved pamoja![]()
Wewe hujui meaning ya grand total nyamaza.Nimejiuliza kashindwa kuelewa hata maana ya " Grand Total" 🤣🤣🤣