Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu ni kama umekuwa admire wake, kwani jamaa ni guy au nini?🤣🤣🤣
West zone
Only 44% are good
Screenshot_20201014-141319.png
 
, 😁😁😁😁 reference zote zimetoka kwa wanaowapa mikopo ya kujenga hizo barabara

Sio unatuletea brochures za Jubilee sisi, wapelekee kondoo za Jubilee sio sisi tena ukome 😁😁😁😁
So siku hizi Wikipedia huwa inatupea mikopo? 🤣 🤣 🤣
 
West zone
Only 44% are good
View attachment 1599899
Wapika data utawajua tu, 🤣🤣🤣🤣 hawawezi kusema exactly ni kilometers ngapi, eti wanasema kwa percentage, tena wanatoa data za kipumbavu sana eti good, fair, poor

Huu utaratibu wa kuhesabu kilometres za lami kwa percentage upo Kenya tu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa jamaa wapuuzi sana.
 
Unacheka nini nugu hii. Mombasa to Moyale ni zaidi ya kilomita elfu moja. Mombasa to Busia ni zaidi ya kilomita mia nane. Umesikia ofisa?
kwa hiyo hiyo ndiyo km ndefu kwa hapo kenya.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

wachaga ujinga
 
Back
Top Bottom