The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Yah probably haiwezi kuwa erruption mana japo ni dormant but haitazamiwi ku ereupt in the near future mana mara ya mwisho ni zaidi ya miaka 100k iliyopita.No sio eruption
Yah probably haiwezi kuwa erruption mana japo ni dormant but haitazamiwi ku ereupt in the near future mana mara ya mwisho ni zaidi ya miaka 100k iliyopita.No sio eruption
Yaah uko sahihi mkuuYah probably haiwezi kuwa erruption mana japo ni dormant but haitazamiwi ku ereupt in the near future mana mara ya mwisho ni zaidi ya miaka 100k iliyopita.
yaani mkuu nimegundua kuwa wakenya ni washamba sana hawajui hata aina za arena zinakuwa vipi washakariri kuona arena ikiwa ina sit kama za uwanja wa mpira au badketball.....nimecheka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha hii cowshade ondoa hapo
manake ile arena yenu kubwa ni 5000 capacity sasa unataka kunidanganya nn mm??😀😀😀😀Umehesabu ukaona watu wangapi hapo??
arena yenu kubwa ni 5000 capacity saaa unataka kunidanganya nn??😀😀😀Umehesabu ukapata wangapi?
Washaanza [emoji23][emoji23][emoji23]Stendi ya mabasi Dodoma ilipokamilika kenya ilitetemeka huku wakenya wengine wakilaumu serikali yao kwa kufananisha "shukisha kwa mlima" na bus terminal ya Dodoma...wengine wakafika mbali zaidi kuifananisha na airport zao,
Hivi hii ya Mbezi Luis Dar es salaam ikikamilika itakuwaje kwa wakunya maana ni nzuri kuliko ile ya Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu tuonyeshe indoor arena yoyote inayofanana na hile tent yenu, tujue kati ya wewe na wengine na mjinga.yaani mkuu nimegundua kuwa wakenya ni washamba sana hawajui hata aina za arena zinakuwa vipi washakariri kuona arena ikiwa ina sit kama za uwanja wa mpira au badketball.....nimecheka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
There are only two indoors arena in East Africa, ya Nairobi an ya Kigali. Hizo zingine mnaonyesha hapa ni tu tents za shows na nimekuambia ziko kila mahali Kenya. Nyinyi hamtawai kuwa na indoor arena.arena yenu kubwa ni 5000 capacity saaa unataka kunidanganya nn??😀😀😀
and i know kigali handle 10000 and nairobi handle 5000 is that okey so ulipewa ya dar ambayo ina uwezo wa ku handle 7000 sijui wapi unakwama wewe😀😀There are only two indoors arena in East Africa, ya Nairobi an ya Kigali. Hizo zingine mnaonyesha hapa ni tu tents za shows na nimekuambia ziko kila mahali Kenya. Nyinyi hamtawai kuwa na indoor arena.
Hakuna indoor arena Dar na hamtawaikuwa nayoand i know kigali handle 10000 and nairobi handle 5000 is that okey so ulipewa ya dar ambayo ina uwezo wa ku handle 7000 sijui wapi unakwama wewe😀😀