Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,471
Zilete...yenye capacity ya 7000Hizi sasa ndio nini? Hizi ziko kila mahali Kenya.
Si hizi ni zile tent za Churchill show,inaonekana hawa hajawahi ona indoor arena,hio dar at a sporting facilities haina ispokuwa za footballTena jamaa nimekalia kimya kuna Next Door arena yenye seating cap 7000..na standing hata 10k hyo ndo performance kubwa zinafanyika....
1.Next Door Arena
2.Mlimani City Hall
3.Diamond Jubilee
4.Jnicc
5.The new,arena u/c by halflixView attachment 1597231View attachment 1597232View attachment 1597233View attachment 1597234View attachment 1597235View attachment 1597236
Apart from football hawana any sports facility in Tanzania. Alafu mwingine anatupostia zile tents za Churchill show.Si hizi ni zile tent za Churchill show,inaonekana hawa hajawahi ona indoor arena,hio dar at a sporting facilities haina ispokuwa za football
Hizo ni vitu za kawaida Kenya.
Malaba na Busia boarders kiboko yaoInaonesha huu mpaka wa Namanga ndio their busiest national entry point of revenues ukiondoa bandari, wakati Tanzania mpaka wetu uliochangamka ni Tunduma na mipaka mingine yote tupo bumper to bumper
Wao mipaka mingine kama ya Somalia, Sudan, Ethiopia hata haina lami wala any signs of entry or boarder 😆
Umehesabu ukaona watu wangapi hapo??is this 7000 capacity😂😂😂 hebu nicheke
Umehesabu ukapata wangapi?is this 7000 capacity😂😂😂 hebu nicheke
Yani hiyo tent ni kitu cha maana sana kwa watanzania, hawajui huku Kenya ziko kila mahali.Umehesabu ukaona watu wangapi hapo??
Teargass[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji121][emoji121][emoji121]
Hapo atakuwa anajiuliza umetumia technology gn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Imeanzia upande wa kenya nn??Msitu wa mlima Kilimanjaro unateketea kwa moto muda huuView attachment 1597312
Sijajua ila kwa ninavyosikia kuwa ulianza kuungua mida ya saa 12 jioni na mpaka naona kwa mbali moto ukiendelea kuwakaImeanzia upande wa kenya nn??
Icje ikatokea balaa la erruption of molten materials there cz co mfu ni hai bali imesinzia tu.Sijajua ila kwa ninavyosikia kuwa ulianza kuungua mida ya saa 12 jioni na mpaka naona kwa mbali moto ukiendelea kuwaka
No sio eruptionIcje ikatokea balaa la erruption of molten materials there cz co mfu ni hai bali imesinzia tu.