Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

$40 Million [emoji52][emoji52][emoji52]
Screenshot_2020-10-12-08-19-20.jpg
 
There are only two indoors arena in East Africa, ya Nairobi an ya Kigali. Hizo zingine mnaonyesha hapa ni tu tents za shows na nimekuambia ziko kila mahali Kenya. Nyinyi hamtawai kuwa na indoor arena.
Wanatuonyesha tents kama zile za Churchil Show! 😂
 
is this 7000 capacity😂😂😂 hebu nicheke
Sitting capacity ya hiyo tent ya Churchil Show is not the subject of discussion. Unachoulizwa ni kwamba tangu lini tent kama hiyo ikaitwa indoor arena?
 



MY TAKE
I differ with the statement above by DBwambale, JKIA lounge is no way better than this 👇

Ej9RdtrXgAE6RKM


This Dodoma bus Terminal's lounge matches any lounge found in any airport around EA including one in the JKIA!
 
Sitting capacity ya hiyo tent ya Churchil Show is not the subject of discussion. Unachoulizwa ni kwamba tangu lini tent kama hiyo ikaitwa indoor arena?
the subject is kenya arena can only handle 5000 and not more
 
Back
Top Bottom