Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
hapo ndipo unajua kuwa wakenya wanamatatizo...Kwani we ukisikia neno "indoor arena" kichwani mwako unaelewa nini?
hapo ndipo unajua kuwa wakenya wanamatatizo...Kwani we ukisikia neno "indoor arena" kichwani mwako unaelewa nini?
Kitu nimegundua na watanzania wengi ni kwamba hawajui mambo mengi ila wanajifanya wanajua kuliko uwezo wao wa kujua. La pili ni kwamba ni wabishi by nature and they like forcing things.Next Door Arena DarView attachment 1597267
Can you define the word indoor arena?Kwani we ukisikia neno "indoor arena" kichwani mwako unaelewa nini?
Stop avoiding the question: Tangu lini tent ikaitwa indoor arena?the subject is kenya arena can only handle 5000 and not more
Kwanza hiyo kitu wanaita Next door Arena ni club. Hapo kazi yake ni kulewa na kucheza mziki 🤣Kitu nimegundua na watanzania wengi ni kwamba hawajui mambo mengi ila wanajifanya wanajua kuliko uwezo wao wa kujua. La pili ni kwamba ni wabishi by nature and they like forcing things.
Kuhusu hii mada ya indoor arena, watanzania wanafaa wakubali tu hawana. You can't have everything. Hata sisi Luna vitu mnazo na sisi hatuna. Forcing things only makes you look stupid.
Anything called an indoor arena MUST have the following features as per my understanding.
1. One of the key features of any indoor arena is that the event space is the lowest point, to allow for maximum visibility. Looking at that picture above, this is not the case.
2. Indoor arenas are often circular or oval-shaped, another key feature missing in these tents that Tanzanians call indoor arenas.
3. Indoor arenas have tiered seating arrangement for spectators, another key feature missing in these Tanzanian tents called arenas!
4. Last but not least, indoor arenas have large, flat central areas surrounded by seats. This is not the case with these things we are being told are indoor arenas.
I think this will rest the case now
Hizi mbio ni mpaka wakae chini...sisi hatushindani....tunatekeleza!
MY TAKE
I differ with the statement above by DBwambale, JKIA lounge is no way better than this
![]()
This Dodoma bus Terminal's lounge matches any lounge found in any airport around EA including one in the JKIA!
Ushamba iko Tanzania haina kipimo! Halafu ni wabishi mno! Wanakera sana hawa watuKwanza hiyo kitu wanaita Next door Arena ni club. Hapo kazi yake ni kulewa na kucheza mziki 🤣
MY TAKE
I differ with the statement above by DBwambale, JKIA lounge is no way better than this 👇
![]()
This Dodoma bus Terminal's lounge matches any lounge found in any airport around EA including one in the JKIA!
Hiyo sasa ndio kutumia asilimia moja akiliUshamba iko Tanzania haina kipimo! Halafu ni wabishi mno! Wanakera sana hawa watu
Zipo nyingi mno kwa ss, na nyingine nyingi zimepita kwenye sgr line, ni nyingi sana hakuna hata haja ya kudiscuss hapaThat's a railway tunnel. It's not an underpass road. Get the difference danganyikan. You don't have an underpass anywhere in Tanzania

Milimani City nayo ni mall. They must be confusing those cinema halls found inside shopping malls as indoor arenas. Hawa watu si ni washamba jamani!!Kwanza hiyo kitu wanaita Next door Arena ni club. Hapo kazi yake ni kulewa na kucheza mziki 🤣
Is that underpass? 🤣 🤣 🤣 🤣Zipo nyingi mno kwa ss, na nyingine nyingi zimepita kwenye sgr line, ni nyingi sana hakuna hata haja ya kudiscuss hapaView attachment 1597696
Kuna Club inaitwa Club Next Door.Kwanza hiyo kitu wanaita Next door Arena ni club. Hapo kazi yake ni kulewa na kucheza mziki 🤣
Dunderhead as usual, unaongelea habari za oval shape we unavyoona hyo indoor arena ina shape gn? Weka bandle uangalie video wacha ku comment kitu bila kutazama, unataja seats ss unataka ziwekwe seats kabla ujenzi kuisha?Kitu nimegundua na watanzania wengi ni kwamba hawajui mambo mengi ila wanajifanya wanajua kuliko uwezo wao wa kujua. La pili ni kwamba ni wabishi by nature and they like forcing things.
Kuhusu hii mada ya indoor arena, watanzania wanafaa wakubali tu hawana. You can't have everything. Hata sisi Luna vitu mnazo na sisi hatuna. Forcing things only makes you look stupid.
Anything called an indoor arena MUST have the following features as per my understanding.
1. One of the key features of any indoor arena is that the event space is the lowest point, to allow for maximum visibility. Looking at that picture above, this is not the case.
2. Indoor arenas are often circular or oval-shaped, another key feature missing in these tents that Tanzanians call indoor arenas.
3. Indoor arenas have tiered seating arrangement for spectators, another key feature missing in these Tanzanian tents called arenas!
4. Last but not least, indoor arenas have large, flat central areas surrounded by seats. This is not the case with these things we are being told are indoor arenas.
I think this will rest the case now
Nakuambia nilicheka hile video ya "Arena ya kisasa" . Yaani is like nisimamishe tent alfu niite arena ya kisasa.Milimani City nayo ni mall. They must be confusing those cinema halls found inside shopping malls as indoor arenas. Hawa watu si ni washamba jamani!!
Hakuna infrastructure ipo Nairobi isiwepo Dar ila kuna infrastructure zipo Dar Kenya nzima hamna, inauma ila ndio hivyoNakuambia nilicheka hile video ya "Arena ya kisasa" . Yaani is like nisimamishe tent alfu niite arena ya kisasa.

I was referring to something like this bongolala.Zipo nyingi mno kwa ss, na nyingine nyingi zimepita kwenye sgr line, ni nyingi sana hakuna hata haja ya kudiscuss hapaView attachment 1597696