Mr bongo
JF-Expert Member
- Mar 18, 2019
- 462
- 1,015
Kwenye afya kenya kidogo mutuache. Mlikua zamani sio sasa.Munasubiri iishe musebe best in east and central.??
Bay the way iyo haifikii mloganzila ni vile wabongo hatupendi kuongelea mambo zetu na mloganzila inafanya kazi teyari..
View attachment 1596544View attachment 1596546wakati nyie mnafungua iyo sisi tunafungua izo refera kama izo kila kanda more than 4..
Zaidi ni kwamba facilities zake ni za kisasa kuliko hata agakhan ya kenya..
Na iyp picha kwenye kitanda siyo ICU.View attachment 1596549