Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Ndio kawaida ya watu wavivu, wanaona wivu wakati tunawapa ajira na lishe, their retailers are benefiting kutokana na hili lakini hawaoni hilo.halafu inakaa husda ipo kila mahali!
Ndio kawaida ya watu wavivu, wanaona wivu wakati tunawapa ajira na lishe, their retailers are benefiting kutokana na hili lakini hawaoni hilo.halafu inakaa husda ipo kila mahali!
Angalia hapa km unaziona blue towers ila nyie lazima ionekane cbk [emoji116][emoji116]CBD ni moja. Hata ninyi mna CBD moja, hizo glass tatu mnazoweka hapa kila siku. Ama ulikuwa unataka nikuwekee westlands na upperhill?
Kule Kenya hii ni mall..!Hii ni mall sio soko 😅😅
Halafu kama hii pesa ya soko imeachiwa baada ya kuwa paused basi na ya Airport itaachiwa kazi ikamilike
Issue sio developed,issue ni failed stateHaha,, do you have idea many of the listed countries here ziko developed kumliko,dyo maana nasema kama Kenya ni failed state, bas TZ ni original failed state
Daah,kwa kweli hata mimi siwezi.. adui ni kumuombea njaa tuu.Yaani mie nikae Niombee Kenya
Kwahilo simo kabisa Nisiwe mnafiki
Tena ingetanguliwa na mega, ultramodern, huge, superb, most, hyper na matakataka mengine, na hii habari ingeshajulikana mpaka NigeriaKule Kenya hii ni mall..!
Issue sio developed,issue ni failed state
Halafu nyie wakenya mbona mna akili mbovu hivyo,tangu lini kenya na nigeria zikawa developed state!
Angalia hapa km unaziona blue towers ila nyie lazima ionekane cbk [emoji116][emoji116]View attachment 1596869
Abadan ,abadan Mkunya hatokaa akapewa fairness na Wazalendo...tuliwapa enzi hizo wakatuona ma Goi goi..Wakenya hawajawahi kukubali chochote kinachofanywa na Tz hata kama viongozi wao wanaonesha dhahiri shairi kutaka kujifunza kutoka Tz lkn Wakenya wa humu hawakubali, ss nashangaa WaTz wa humu kuleta Shobo na kujifanya wapo fair, fairness gn unatuletea humu? Hatutakuelewa kabisa cz hao unaowapa credit wao hawakupi hata ufanye nn ss hii ndo nn?
WaTz wacheni kuturudisha 60s miaka ambayo WaTz wengi walikuwa na roho ya utu ambayo imepelekea leo cc watoto zao tuishi mazingira km haya, hawa jamaa ni wakuwakataa kivyovyote vile hawafai kabisa na hawapaswi kusifiwa kwa chochote kile cz hata wao hawako fair na ni washenzi kabisa na hawaitakii mema nchi yetu.
Mm nikiona mTz anasifia kenya kivyovyote vile namuona km msaliti na anayejipendekeza kwa mijitu isiyo na shukurani.
Wacheni mambo yenu bhn, kwn Wakenya wa humu Jf hawajui km tunaenda kwenye right direction? Mbn hawasifii, je hawajui km serikali yao imejaa ufisadi? Mbn hawakubali, ss ninyi WaTz mbn mnaleta utanzania wenu wa 1960s wacheni mambo yenu bhn.
Umerudi pale pale [emoji3][emoji3][emoji3]
Vipi inakaribia hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1596925
This tower naipenda sana,so huge
Au hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1596925
This tower naipenda sana,so huge