Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani PT ni nyingi sana
23FFFBAF-415E-45C7-96C2-AA601C0BA76F.jpeg
DEA6DFE7-C707-4679-A13C-CD74B2675251.jpeg
 
Tukianza kuposti marabara,mahospitali,mahotel hakuna nchi afrika ambayo maendeleo yamesambaa kama Tanzania ndo maana tunaongoza kwenye inclusive economy afrika
ajulie wapi uyo.....
yaani picha na video ndiyo zinszomdanganya ukienda kwenye reality ya hizo town zao lazima ucheke na kusikitika.....
 
Weka hapa tuone, duuhh yn polisi kuwa na v8 imewashangaza sn Wakenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti kutushangaza, hhhh!!hapo mnaambiwa ukwel km hyo v8 kamwe si ya kupigia patrol wala kwenda kukamatia watu tandale..

V8 GK zitele na haturingi
 
Wewe jamaa utakuwa na matatizo sana. Unadhani Issue zenu za kenya ndiyo issue za TZ
Na unatakiwa uwe tayari kujifunza. Tatizo lako ujiaji wa kijinga na hautaki kujifundisha.
Anyways:
PT = Polisi Tanzania
MT = Magereza Tanzania
UT = Uhamiaji Tanzania
JW = Jeshi la wananchi
SU = Shirika la Umma
SM = Serikali za mitaa
ST(K,J...) Serikali ya Tanzania
CD = Diplomat Car
E = Escort
S = Spika
NS= Naibu Spika
CS = Katibu mkuu kiongozi
JM = Jaji mkuu
CDF = Mkuu wa majeshi
RC = Reginal Cammisioner

Orodha ni defu sana.
Usilete ujinga wako hapa
Umesahau ZT - Zimamoto na uokoaji
 
Hahaha!!OCD mwnywe hatumii hzo[emoji23][emoji23]
Mnaforce vitu vya kijinga
Leo nimegundua kwamba Wakenya mpo nyuma sana aisee mmekaa humu mnajadili kuhusu v8 ambazo nyie mnatumia kwa viongozi cc huku wanatumia mpk polisi na ushahidi umewekwa humu bado hamtaki mnaona ni maajabu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom