Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

V8 zinatumika na wakuu wa vitengo kenye department za serikali karibia zote.
V8 kwa sasa zimekuwa gari za kawaida sana TZ. Barabarani yapo mengi tu tena watu wa uswahilini kabisa wanamilk.

Nilikuwa na mkenya mmoja alishangaa sana kuona V8 zipo mpaka uswahili ndani ndani kabisa na watu wanazimilki.
Inategemea ni v8 ya aina gani hyo inayomilikiwa na watu wa kawaida
 
Hzo ni escort jomba, na wala sijichanganyi..
We mjinga sana. So unachotaka ni nini sasa?
Escort zimeandikwa Escort. Punguza ujinga sasa
1601986362649.png
 
Ile siku utaleta hta peugeot iliyoandikwa polisi nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaleta plates hapa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382]
peogeot kwetu ni takataka hatuna mpango wakutumia hata raia wa kawaida hatuna mpango na gari zinaitwa pegeout naona v8 zimekutoa kamasi makalioni😂😂😂😂
 


Kituo cha Dar cha SGR kiko kwenye finishing stages. Good news BRT itakuwa intergrated hapa.

Hii ni nzuri sana cause pia Airport terminal 2 n 3 zitaungwa na BRT.

Na basi ya Express yatahitajikia hii route kusafirisha watu from airport to train, and later light rail in years to come.
 
hawa wajinga sijui kama walikuwa wanaijua vyema tz[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].

yaani jimeshangaa sana tunaanza kubishana kwenye vitu vidogo namna hiyo hawataki.
Hatubishani niwaambia ukwel, ikiwa OCD tu hatumii v8 gari lake ni land cruiser itakuja polisi wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom