ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
yani hawa hata mawazo yao yakimaskini kabisa 😂😂😂 hawez kuamini kama v8 huku zinatumiwa na jeshi la polisi na zimejaa kila nchi wao mawazo yao v8 inatumiwa na uhuru kenyatta
yani hawa hata mawazo yao yakimaskini kabisa 😂😂😂 hawez kuamini kama v8 huku zinatumiwa na jeshi la polisi na zimejaa kila nchi wao mawazo yao v8 inatumiwa na uhuru kenyatta
Bro we huwezi nambia kuhusu hyo sekta, najua kila kitu vile serikali hucheza na plates..Kwani hizo PT kwenye plate number za hizo gari zilizo postiwa zina maana gani?
PT ni POLISI TANZANIA acha ujuaji wa kishamba.
Unataka Peugeot au V8 mbona hueleweki?Lete jomba, cheki peugeot hzo kwanzaView attachment 1592096View attachment 1592097
hahaha peogeot nayo ni gari u must be serious, hahha range huku ni kitu cha kawaida sanaLete jomba, cheki peugeot hzo kwanzaView attachment 1592096View attachment 1592097
uhahahhahahahahhahahahahahhahahhahahahahahahhaha leo kutamu sana huku😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bro we huwezi nambia kuhusu hyo sekta, najua kila kitu vile serikali hucheza na plates..
Km hakuna v8 iliyoandikwa polisi tulia tu
hahahhaha hawez amini mm nakwambia nawajua vzr sana hawa watu😂😂😂😂Unataka Peugeot au V8 mbona hueleweki?
hpo vpiIlete hyo v8 ambayo imeandikwa polisi tuione[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia benz ya kanjo hzo[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1592063
Ile siku utaleta hta peugeot iliyoandikwa polisi nitag[emoji23][emoji23][emoji23]hahaha peogeot nayo ni gari u must be serious, hahha range huku ni kitu cha kawaida sana
View attachment 1592099
Hyo ni VIP escort jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya pia V8 na range hutumiwa na polisi, au wafikiria hawatumii.yani hawa hata mawazo yao yakimaskini kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] hawez kuamini kama v8 huku zinatumiwa na jeshi la polisi na zimejaa kila nchi wao mawazo yao v8 inatumiwa na uhuru kenyatta
We don't use Peugeot in our coutry.Ile siku utaleta hta peugeot iliyoandikwa polisi nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaleta plates hapa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382]
Bro we huwezi nambia kuhusu hyo sekta, najua kila kitu vile serikali hucheza na plates..
Km hakuna v8 iliyoandikwa polisi tulia tu
Jifunze Plate number za Tanzania hapa. Acha ubishi wa kijingaKenya pia V8 na range hutumiwa na polisi, au wafikiria hawatumii..
Hzo ni gari za officials, huwezi ikuta tandale inatafuta inatafuta wahalifu
Huoni na hiyo ya nyuma ni PT?Hyo ni VIP escort jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni nyuma kuna kuna ingine ya white
Ya nyuma pia ni ya polisi PT, Umetaka V8 ilioandikwa polisi umepewa, unaanza kujichanganya sasa,Hyo ni VIP escort jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni nyuma kuna kuna ingine ya white
Yaani Tanzania ni ya tofauti sana, wakati wa uchaguzi bado wageni wanazidi kubook flights to Tanzania sababu wanajua Tanzania ni all weathered stable, Kenya mwaka mzima wa uchaguzi Hakuna mtalii anataka kusikia.
Mzee Tanzania V8 ndio gari kama official hivi ya serikali, haijalishi kitengo but mostly mpaka kwenye taasisi za kawaida huwa zinamiliki V8, nilishangaa kuona Kenya Rais anatembelea PradoHyo ni VIP escort jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni nyuma kuna kuna ingine ya white