Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiwezekani the whole track kuwa na operating center moja tu!

Telecommunication & Signaling

Trains operations will use European Train Control System Level 2 to ensure safety and efficacy in SGR operation activities at the Main Control Room at Dar es Salaam main Station.
Mwanzo | TRC

Telecommunication & Signalling

Trains operations will use European Train Control System Level 2 to ensure safety and efficacy in SGR operation activities at the Main Control Room at Dar es Salaam main Station.
Mwanzo | TRC

☝Hapa wanasema main operating center! hapo inamaanisha backup centers zitakuwapo! i am pretty sure Dodoma will have another one n Mwanza too

Larger part ya top floor ya Morogoro station itakuwa inatumika kama backup control centre. Hivyo Hivyo itakua Dodoma, Tabora na Mwanza.
 
Pale DARCH (Dar center for Architectural Heritage) , Old Boma, kuna Historia nzuri sana ya Majengo ya Dar, katika Stages na tawala mbalimbali.

Hapa chini nimeruka German and British Era.
Kulingana na History, British hawakufanya chochote zaidi ya Kurenovate Majengo ya wajerumani , ni kwa sababu ya ufinyu wa Budget.
Ni kweli kabisa Waingereza hawakufanya maendeleo yoyote Tanganyika kwakuwa halikuwa koloni lao, wao walipewa tuu eneo na league of Nations kuliangalia. Ndiyo sababu hawakuweza kuhodhi ardhi ya mashamba makubwa kama walivyofanya Zimbabwe na Kenya.

Ukiangalia kwenye ile picha utaona Dar ya 1937 ni ile ile ya ramani iliyosanifiwa na Mjerumani, aliyekaa miaka 28 tuu Tanganyika. Utaona mji ulikuwa unaishia mtaa wa jamhuri, Upanga haikuwepo kabisa. Hii ndiyo sababu ya majirani (na hata waingereza, ref - a fishing village) kuionea wivu Dar, wakijua ni mji uliojengwa na wantanzania wenyewe.

Ukiangali miji mingi mizuri kusini ya Afrika utaona, uzuri wa miji unashabihiana na muda waliokaa wakoloni, Dar ni tofauti. Hivyo kufutua (debunk 🙂 ) ili nadharia kuwa waingereza pekee ndiyo walioleta maendeleo kusini mwa Afrika.
 
Evidence![emoji6][emoji23][emoji23] blah blah ya nini? LDC/mini mido income [emoji23][emoji23], video clips!., Tz tunaijua, na domo domo zenu pia.

IMG_3120.jpg

IMG_3123.jpg

IMG_3122.jpg

nimekuwekea na ya escort ili usije ukachanganya.

PT haitumii Toyota v8 peke yake mpaka Range rover zipo.na hatupigii kelele watu.
 
Larger part ya top floor ya Morogoro station itakuwa inatumika kama backup control centre. Hivyo Hivyo itakua Dodoma, Tabora na Mwanza.
Mkuu hivi vitu ni vipya taratibu wataelewa,
Kikawaida kukiwa na safari nyingi za treni zinaweza gawanywa ili kuongeza ufanisi.
Sio lazima ziongozwe Toka dar zote.
Hivi vitu kama hujaviendea shule ni vigumu kuelewa.
 
View attachment 1590482
View attachment 1590483
View attachment 1590484
nimekuwekea na ya escort ili usije ukachanganya.

PT haitumii Toyota v8 peke yake mpaka Range rover zipo.na hatupigii kelele watu.
Yosef Festo vp una la ziada? Msiwe mnakubali kuongopewa na vitakwimu ushuzi vya Google ati zifuatazo ni nchi zenye bajeti kubwa za jeshi Afrika but on ground ushuzi wa mbuzi.

Tz ni nchi ya ajabu sana kuna mambo mengi ya kujivunia ila huwa tunakausha tu, angalia ss gali ambazo kwenu anapanda raisi huku kwetu mapolisi wanazurura nazo mitaani tu kukamata wanywa gongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Najua kwenu gongo ruksa ila huku kwetu vitu vichafu km hvyo marufuku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
View attachment 1590482
View attachment 1590483
View attachment 1590484
nimekuwekea na ya escort ili usije ukachanganya.

PT haitumii Toyota v8 peke yake mpaka Range rover zipo.na hatupigii kelele watu.
😂😂😂Nilijua, escort., 😂😂eti V8 na for common use la hasha, ata developed world hawazitumi, only as escort or security for high profile individual, hayo mengine Kenya ziko., latest Peugeot, Mercedes, Chevrolet
View attachment 1590482
View attachment 1590483
View attachment 1590484
nimekuwekea na ya escort ili usije ukachanganya.

PT haitumii Toyota v8 peke yake mpaka Range rover zipo.na hatupigii kelele watu.

😂 😂😂😂
Eti V8 na Range, peleka ufala mbali😂😂😂😂 I told you maybe ya escort, ata developed world hawazitumii kwa matumizi ya polisi ya kawaida nyie fukara mnatuambia nini😂😂😂. Range Rovers and V8 ziko but not for daily police duties but for escort, security for high profile people(VIP), Police bosses, DCI, CID etc., Normal daily use ni Land cruisers kama ya Ichoboy01, latest model Peogeot, Nissan extrail na Ford Rangers double cabin for highway patrol unit.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua, escort., [emoji23][emoji23]eti V8 na for common use la hasha, ata developed world hawazitumi, only as escort or security for high profile individual, hayo mengine Kenya ziko., latest Peugeot, Mercedes, Chevrolet

[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti V8 na Range, peleka ufala mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I told you maybe ya escort, ata developed world hawazitumii kwa matumizi ya polisi ya kawaida nyie fukara mnatuambia nini[emoji23][emoji23][emoji23]. Range Rovers and V8 ziko but not for daily police duties but for escort, security for high profile people(VIP), Police bosses, DCI, CID etc., Normal daily use ni Land cruisers kama ya Ichoboy01, latest model Peogeot, Nissan extrail na Ford Rangers double cabin for highway patrol unit.
Hahahaaa Wakenya njoeni huku muone mwenzenu ametii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1601845598159.jpeg
tapatalk_1601845589391.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua, escort., [emoji23][emoji23]eti V8 na for common use la hasha, ata developed world hawazitumi, only as escort or security for high profile individual, hayo mengine Kenya ziko., latest Peugeot, Mercedes, Chevrolet

[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti V8 na Range, peleka ufala mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I told you maybe ya escort, ata developed world hawazitumii kwa matumizi ya polisi ya kawaida nyie fukara mnatuambia nini[emoji23][emoji23][emoji23]. Range Rovers and V8 ziko but not for daily police duties but for escort, security for high profile people(VIP), Police bosses, DCI, CID etc., Normal daily use ni Land cruisers kama ya Ichoboy01, latest model Peogeot, Nissan extrail na Ford Rangers double cabin for highway patrol unit.

sasa hii kilio yote inasababishwa na nini[emoji28][emoji28][emoji28]

halafu sijajua swali lako lilirenga kitu gani??View attachment 1590533

let me remind something you nugu,unajua bei ya landcruiser hardtop moja ni pesa ngapi???au ukisikia v8 tu basi unaingia uvunguni[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom